-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lahimizwa lipeleke vikosi vya kulinda amani Ghaza
Aug 23, 2025 06:02Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterania limelitaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa litekeleze azimio la kihistoria kwa kupitisha uamuzi wa kulivuka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kupeleka kikosi cha kulinda amani katika Ukanda wa Ghaza.
-
Askari vamizi wa US waanza kuondoka kambi ya Ain al-Asad, Iraq
Aug 23, 2025 02:45Wanajeshi vamizi wa Marekani wameanza kuondoka katika kambi ya anga ya Ain al-Asad katika Mkoa wa Al-Anbar nchini Iraq, hayo ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Maafisa 15 wa jeshi la anga la Israel watimuliwa kwa kutoa wito wa kusitishwa vita Gaza
Aug 23, 2025 00:26Jeshi la utawala dhalimu wa Israel limewafuta kazi maafisa 15 wa jeshi la anga kwa kosa la kutoa mwito wa kusitishwa vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa tena wito wa kusitishwa vita Gaza
Aug 23, 2025 00:24Katikati ya mwanzo wa uvamizi wa utawala wa Israel katika mji wa Gaza, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesisitiza ulazima wa kusitishwa mara moja mapigano huko Gaza.
-
Nchi 21 zapinga ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi
Aug 23, 2025 00:22Duru za habari zimeripoti kuwa, nchi 21 zimetoa taarifa na kulaani uamuzi wa utawala wa Israel wa kujenga vitongoji vipya vya walowezi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kusema kuwa haukubaliki.
-
Imefichuka kupitia taarifa za siri za jeshi la Israel: 83% ya waliouawa Ghaza ni raia wa kawaida
Aug 22, 2025 06:34Taarifa za siri za jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel zilizovuja zinaonyesha kuwa watu watano kati ya sita waliouliwa na jeshi hilo katika Ukanda wa Ghaza ni raia wa kawaida.
-
Hamas yaonya: Israel haitafikia malengo yake Ukanda wa Gaza
Aug 21, 2025 03:01Utawala wa Israel umeanza kupeleka vikosi vya jeshi lake kwenye viunga vya Jiji la Gaza kwa ajili ya kuanza kutekeleza mpango wake wa kukalia kwa mabavu eneo hilo kubwa zaidi la Ukanda wa Gaza, lakini Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeonya kuwa, Tel Aviv itashindwa kutimiza malengo yake.
-
Israel inapanga njama ya kuwafukuza Wapalestina milioni moja Gaza
Aug 20, 2025 23:33Utawala wa Israel umeanzisha “Kitengo cha Kuhamisha Watu” ili kupanga njama kwa makin kwa lengo la kuwafukuza Wapalestina kutoka Jiji la Gaza kupitia kampeni ya mabango, ujumbe mfupi wa simu, na mizinga, kulingana na vyombo vya habari vya utawala huo ghasibu.
-
Watoto wangapi wanapoteza maisha kila siku huko Gaza?
Aug 20, 2025 03:11Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza vifo vya kila siku vinavyowakumba wataoto wa Ukanda wa Gaza.
-
Israel imeua wafanyakazi 360 wa Umoja wa Mataifa katika vita vya mauaji ya kimbari Gaza
Aug 19, 2025 23:54Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Kazi kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limewaenzi wafanyakazi wake walioko mstari wa mbele katika Ukanda wa Gaza, likifichua kuwa karibu wafanyakazi 360 wa UNRWA wameuawa katika operesheni ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo hilo lililozingirwa.