-
Wakati ulimwengu ukiendelea kulaani shambulio la Israel, Qatar yasema ina haki ya kujibu
Sep 11, 2025 00:41Sambamba na kauli mbalimbali uulimwenguni za kulaani shambulio la Israel, Qatar imetangaza kuwa, ina haki ya kujibu jinai hiyo ya Israel huko Doha iliyowalenga viongozi waandamizi wa HAMAS.
-
Rais wa Croatia akataa kukutana na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Israel
Sep 10, 2025 23:46Rais wa Croatia Zoran Milanovic amekataa kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Gideon Saar wakati wa ziara yake rasmi huko Zagreb siku ya Jumanne, akitaja mauaji ya Israel huko Gaza kama sababu ya kukataa kukutana na mwanadiplomasia huyo wa Israel.
-
Kwa nini maelfu ya Wazayuni wanataka kusimamishwa vita vya Gaza?
Sep 10, 2025 10:07Maelfu ya Wazayuni wamefanya maandamano ya kumpinga Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni na kutaka kusitishwa mara moja vita vya Ukanda wa Gaza na kukombolewa mateka wa Kizayuni.
-
Rais wa Iran: Nchi za Kiislamu zilaani kwa kauli na vitendo uhalifu wa Utawala wa Kizayuni
Sep 10, 2025 07:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dkt. Masoud Pezeshkian, amesema kwa masikitiko kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel hauheshimu misingi yoyote ya sheria za kimataifa na ameongeza kuwa mwenendo huo unafanyika kwa msaada na uungaji mkono wa Marekani.
-
Somalia, Muqawama walaani shambulio dhidi ya Hamas nchini Qatar
Sep 10, 2025 03:34Somalia imelaani shambulio la Israel katika mji mkuu wa Qatar, Doha ambalo liliwalenga viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, ikisema kuwa hujuma hiyo ni "ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa" na tishio kwa amani na usalama wa kikanda na kimataifa.
-
UNICEF: Ulimwengu hauchukui hatua za kweli kuokoa Gaza
Sep 09, 2025 23:24Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, ulimwengu hauchukui hatua za kweli kuokoa Gaza.
-
Israel yafanya shambulio la kigaidi Qatar na kulenga ujumbe wa Hamas
Sep 09, 2025 10:27Shambulio la kigaidi lililotekelezwa na utawala ghasibu wa Israel huko Doha mji mkuu wa Qatar limelenga maeneo ya makazi yanayohusishwa na wajumbe wa ngazi ya juu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
HAMAS: Pendekezo la Marekani halilengi kumaliza vita vya Ghaza
Sep 09, 2025 07:34Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, Bassem Naim amesema, mapendekezo ya awali yaliyowasilishwa na Marekani lengo lake lilikuwa ni kutaka yakataliwe, na si kuweza kufikiwa makubaliano ya kumaliza vita, kuhakikisha vikosi vamizi vinaondoka kikamilifu huko Ghaza na kutekelezwa mabadilishano ya wafungwa.
-
Netanyahu na jeshi la kizayuni watoa vitisho vikali kwa Wapalestina: Ondokeni Ghaza sasa hivi!
Sep 09, 2025 06:58Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ametishia kile anachokiita operesheni kali ya ardhini katika mji wa Ghaza, huku akitoa vitisho kwa Wapalestina walioko katika mji huo kwa kuwataka waondoke sasa hivi.
-
Ansarullah: Yemen kuendeleza Operesheni Dhidi ya Israel kulipiza kisasi cha damu ya Waziri Mkuu
Sep 08, 2025 23:09Afisa wa ngazi ya juu kutoka Ofisi ya Siasa ya harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa taifa hilo litaendeleza mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya maeneo ya kimkakati ndani ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel pamoja na meli zinazohusiana na utawala huo haramu katika Bahari Nyekundu.