-
Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu: Palestina ndio mpaka wa ulimwengu wa Kiislamu
Feb 02, 2020 23:37Katibu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, Palestina ndio mpaka wa ulimwengu wa Kiislamu na kwamba suala la kuilinda na kuihami Palestina ni wajibu wa Kiqur'ani wa kila Muislamu.
-
Jeshi la Syria lakomboa maeneo mengine kaskazini mwa nchi hiyo
Feb 02, 2020 23:36Jeshi la Syria huku likiendelea kusonga mbele upande wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo limefanikiwa kuvikomboa vitongoji viwili huko kaskazini mwa mkoa wa Idlib ambavyo vilikuwa vikishikiliwa na magaidi wenye silaha.
-
Tisho la Erdoğan kuishambulia kijeshi Syria
Feb 02, 2020 22:59Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kuishambulia kijeshi Syria.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuhusu kushadidi mapigano kaskazini mwa Syria
Feb 02, 2020 12:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka mapigano na mivutano ya kijeshi katika maeneo ya kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Jumuiya ya Maulama wa Palestina yaharamisha kushirikiana na "Muamala wa Karne"
Feb 02, 2020 09:48Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu wa Palestina imetangaza kuwa, ni haramu kushiriki katika utekelezaji wa mpango wa kibaguzi uliopendekezwa na Marekani na Wazayuni kwa ajili ya kadhia ya Palestina.
-
Arab League yapinga "Muamala wa Karne", yatoa onyo kali kwa Israel
Feb 02, 2020 07:28Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wamepinga mpango eti wa amani uliopendekelezwa na Marekani kwa ajili ya mgogoro wa Wapalestina na utawala wa kizayuni wa Israel maarufu kwa jina la "Muamala wa Karne".
-
Kikosi cha Quds cha IRGC kuendelea kuwaunga mkono Wapalestina
Feb 02, 2020 03:58Kamanda mpya wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuwaunga mkono Wapalestina na kuhakikisha kuwa ndoto zao za kuwa taifa huru zinafanikiwa.
-
Sayyid Ammar al Hakim: Quds ni utambulisho wa Waislamu wote
Feb 01, 2020 23:12Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Iraq amelaani njama mpya za rais wa Marekani Donald Trump za "Muamala wa Karne" ambazo zinalenga kuwapora Waislamu maeneo yao matakatifu hasa Kibla chao cha Kwanza yaani Msikiti wa al Aqsa na kusisitiza kuwa, rais wa Marekani anapaswa kutambua kuwa Quds ni utambulisho wa Waislamu wote na watasimama kidete kulilinda eneo lao hilo takatifu kwa nguvu zao zote.
-
Mauaji ya kigaidi na Muamala wa Karne; sababu ya kuongezeka hasira dhidi ya Marekani katika Asia Magharibi
Feb 01, 2020 23:08Nchi mbalimbali katika eneo la Asia Magharibi tarehe 31 mwezi Januari mwaka huu zimeshuhudia maandamano makubwa dhidi ya Marekani.
-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina
Feb 01, 2020 09:40Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangaza la mpango wa Marekani na Israel ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.