-
Maelfu waandamana mjini New York kupinga sera ya njaa huko Gaza
Aug 17, 2025 07:54Maelfu ya wananchi wa Marekani wameshiriki maandamano huko mjini New York kutaka kukomeshwa utumiaji wa njaa kwa makusudi dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, sambamba na kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa za kukomesha mauaji ya halaiki katika eneo hilo.
-
Trump anataka mazungumzo ya pande tatu baina yake na Putin na Zelensky yafanyike Agosti 22
Aug 17, 2025 03:49Rais wa Marekani Donald Trump amekusudia kufanya mkutano wa pande tatu na viongozi wenzake wa Russia na Ukraine siku ya Ijumaa ya tarehe 22 Agosti. Hayo ni kwa mujibu wa tovuti ya habari ya Axios.
-
Ni yapi matokeo ya mkutano wenye utata wa Trump na Putin?
Aug 16, 2025 07:57Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu na uvumi kuhusu mkutano kati ya Marais Donald Trump wa Marekani na Vladimir Putin wa Russia kuhusu vita vya Ukraine, mkutano huo hatimaye ulifanyika Ijumaa, Agosti 15 huko Alaska.
-
Idadi ya waliofariki dunia kwa mafuriko Pakistan yapindukia 300
Aug 16, 2025 07:23Idadi ya watu waliopoteza maisha yao kufuatia janga la mafuriko nchini Pakistan imeongezeka na kufikia 337.
-
China yapinga jitihada za Troika ya Ulaya za kuamilisha utaratibu wa Snapback dhidi ya Iran
Aug 16, 2025 04:23Serikali ya China imetangaza rasmi kuwa, inapinga jaribio lolote la Uingereza, Ufaransa na Ujerumani la kutaka kuamilisha kile kinachoitwa kama utaratibu wa Snapback Mechanism ni ambao utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.
-
Microsoft inachunguza teknolojia yake kutumiwa na Israel kuwafanyia ujasusi Wapalestina
Aug 16, 2025 03:48Kampuni ya Microsof imeanza kufanya uchunguzi kuhusiana na taarifa kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel unatumia teknolojia ya kampuni hiyo kwa ajili ya kuwafanyia ujasusi Wapalestina.
-
Uhispania: Mikataba yote na Israel inapaswa kusitishwa
Aug 16, 2025 03:34Naibu Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza ulazima wa kusitishwa mikataba yote na kusimamisha biashara na utawala wa Kizayuni ili kukabiliana na "uchumi wa mauaji ya kimbari."
-
Helikopta ya misaada yaanguka huku idadi ya waliofariki kwa mafuriko nchini Pakistan ikifikia 227
Aug 16, 2025 01:38Helikopta iliyokuwa imebeba vifaa vya misaada imeanguka na kusababisha vifo vya wahudumu watano wakiwemo marubani wawili mkoani Khyber Pakhtunkhwa kaskazini magharibi mwa Pakistani huku idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mvua kali na mafuriko nchini kote ikifikia 227.
-
Trump na Putin wakutana Alaska bila ya kufikia mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine
Aug 16, 2025 01:37Duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya Rais Vladimir Putin wa Russia na Rais wa Marekani Donald Trump iliyofanyika katika jimbo la Alaska nchini Marekani imemalizika pasi na kufikiwa mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine.
-
Umoja wa Mataifa: Unyanyasaji kijinsia katika maeneo ya mizozo uliongezeka 2024
Aug 15, 2025 22:50Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti iliyotolewa yake kwamba, vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia katika maeneo yenye migogoro kote duniani viliongezeka kwa asilimia 25 mwaka jana (2024).