-
Je, nchi za Amerika ya Kusini zimepokea vipi mpango wa Israel wa kukalia kwa mabavu Gaza?
Aug 15, 2025 22:47Nchi nyingi za Amerika ya Kusini zimekuwa na misimamo ya kukosoa waziwazi mpango wa utawala wa Kizayuni wa kuikalia kijeshi Gaza. Bila shaka, baadhi ya nchi, kama vile Argentina, zimechukua msimamo tofauti wa kuiunga mkono Tel Aviv.
-
Mazungumzo ya mkataba wa plastiki yakabiliwa na mkwamo
Aug 15, 2025 07:40Mazungumzo ya mjini Geneva Uswisi ya kutafuta mkataba wa kwanza duniani kisheria ambao utashughulikia uchafuzi wa plastiki, yamelazimika kusogezwa mbele baada ya kufikia muda wa mwisho bila maelewano.
-
Mamia waandamana Barcelona kupinga mauaji ya kimbari ya Israel Gaza
Aug 15, 2025 07:13Mamia ya Wahispania wameandamana mjini Barcelona kupinga vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza.
-
Umoja wa Ulaya: Israel lazima ikomeshe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi
Aug 15, 2025 07:05Katika kukabiliana na mpango wa Israel wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi, Umoja wa Ulaya umesisitiza kwamba sera hiyo, ikiwa ni pamoja na kubomoa, kuhamisha kwa lazima, kufukuzwa, na kunyang'anywa nyumba, lazima ikome.
-
Wabunge wa UK wamwandikia barua waziri mkuu kumtaka 'amtimue haraka sana' balozi wa Israel
Aug 15, 2025 03:48Wabunge kadhaa wa Uingereza wametoa wito wa kufukuzwa haraka sana balozi wa utawala wa kizayuni wa Israel nchini humo Tzipi Hotovely na kuchukuliwa hatua za haraka za kukabiliana na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza pamoja na kuuwekea vikwazo vya silaha utawala huo haramu.
-
UEFA yajitoa kimasomaso baada ya kulaumiwa kwa ilivyoakisi mauaji ya 'Pele wa Palestina'
Aug 14, 2025 09:36Hatimaye Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA umeweka hadharani beramu lenye ujumbe "Acheni Kuua Watoto. Acheni Kuua Raia" kwenye uwanja wa soka kabla ya mechi ya Super Cup kati ya Paris Saint-Germain na Tottenham iliyochezwa jana Jumatano mjini Udine, Italia, baada ya kulaumiwa kutokana na namna ulivyoshindwa kuzungumzia kwa uwazi mauaji ya nyota wa Palestina yaliyofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Je, siasa za serikali ya Modi zimewatenga Waislamu wa India?
Aug 14, 2025 04:11Waislamu wa India, ambao ni zaidi ya watu milioni 200, katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto zinazoongezeka katika uwanja wa haki za uraia, usalama wa kijamii na ushiriki wa kisiasa.
-
Uingereza yakabiliwa na umasikini ambao haujawahi kushuhudiwa
Aug 14, 2025 03:11Uingereza inakabiliwa na umaskini mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 60 iliyopita, huku idadi ya kaya zisizo na mahitaji ya msingi ikiongezeka sana.
-
New Zealand: Benjamin Netanyahu amerukwa na akili
Aug 14, 2025 00:08Christopher Luxon Waziri Mkuu wa New Zealand amesema Benjamin Netanyahu anaonekana amerukwa na akili.
-
Umoja wa Ulaya watakiwa kusitisha ushirikiano wake na Israel
Aug 14, 2025 00:08Umoja wa Ulaya umetakiwa usitishe ushirikiano wake na utawala wa kizayuni wa Israel kutokana na jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Wapalestina hususan katika Ukanda wa Gaza.