-
Vijana wa Ulaya hawana imani na demokrasia ya Magharibi
Jul 05, 2025 00:43Uchunguzi wa maoni uliofanywa katika nchi za Ulaya umenyesha kuwa nusu tu ya vijana wa Ufaransa na Uhispania tu ndio wamesema wanaamini kuwa demokrasia ndiyo njia bora ya utawala.
-
Borrell: Mamluki wa Kimarekani wameua Wapalestina 550 huko Gaza katika mwezi mmoja
Jul 04, 2025 11:55Mkuu wa zamani wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, amesema kuwa mamluki wa Kimarekani wamewaua Wapalestina 550 huko Gaza katika mwezi mmoja, akishutumu Baraza la Ulaya na Tume ya Ulaya kwa kukaa kimya juu ya matukio hayo.
-
Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine
Jul 04, 2025 08:56Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.
-
Wanahabari mashuhuri walaani upendeleo wa BBC unaoiunga mkono Israel
Jul 03, 2025 23:52Kundi la wafanyakazi wa BBC na mamia ya wanahabari na watu mashuhuri wameandika barua ya wazi kwa wasimamizi wa shirika la BBC, wakikosoa upendeleo wa wazi wa tasisi hiyo katika kuakisi matukio ya vita vya Gaza na kuonya kwamba BBC imekuwa msemaji wa propaganda za utawala wa Israel.
-
Maandamano Uturuki ya kulaani katuni za kumvunjia heshima Mtume (SAW)
Jul 03, 2025 08:36Mamlaka za Uturuki zimesema kuwa, zimeanzisha uchunguzi kuhusu kuchapishwa kwa katuni inayohusishwa na Mtume Muhammad (SAW) na jarida la Leman, na wamemkamata mchora katuni, mhariri mkuu wa jarida hilo, na mkuu wa taasisi hiyo.
-
Kwa nini shambulio la Israel na Marekani dhidi ya Iran limetoa pigo kubwa kwa NPT?
Jul 03, 2025 03:56Tovuti ya Kiingereza ya Al Jazeera imezungumzia matokeo ya hujuma za karibuni za Marekani na Wazayuni katika ardhi ya Iran na vituo vyake vya nyuklia, na kuandika kwamba vita vya siku 12 havijafanikiwa chochote isipokuwa kuharibu uaminifu wa kiwango fulani uliokuwepo kuhusiana na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Nyuklia (NPT).
-
Maduro: Nimeifuta WhatsApp kwa sababu inatumika katika ujasusi na mauaji
Jul 03, 2025 00:29Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amesema katika mahojiano ya kipindi cha televisheni kwamba messenger ya WhatsApp imekuwa ikitumika kwa shughuli za kijasusi na mauaji ya Wapalestina, na kwamba kwa sababu hiyo amefuta messenger ya WhatsApp.
-
Mataifa yaahidi kusaidiana ili kufikia mwafaka wa mzigo wa madeni
Jul 02, 2025 04:20Kongamano la Kimataifa la ufadhili kwa ajili ya maendeleo limemalizika nchini Uhispania kwa taifa hilo kutangaza kupeleka dola bilioni 1.9 katika Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF za kusaidia nchi zinazoendelea.
-
Waislamu na wafuasi wa Palestina wanakandamizwa katika vyuo vikuu vya Canada
Jul 02, 2025 04:19Waislamu na waungaji mkono wa Palestina wanakabiliwa na vitendo vya ukandamizaji katika vyuo vikuu vya Canada.
-
Oxfam: Serikali ya Uingereza mshirika wa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Jul 02, 2025 04:19Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la misaada ya kibinadamu la Uingereza la Oxfam amesema kuwa, serikali ya London ni mshirika wa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.