-
Uruguay yalaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Jun 03, 2025 07:37Makundi mengi ya kisiasa na mirengo yameiitaka serikali ya Rais wa Uruguay Yamandu Orsi kuchukua msimamo mkali na mgumu zaidi dhidi ya uvamizi wa Israel huko Gaza.
-
Afisa wa utawala wa Biden akiri Israel imefanya jinai Ghaza
Jun 03, 2025 03:33Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amekiri hadharani kwa kusema: "Ni jambo lisilo na shaka kwamba Israel imefanya jinai ya kivita huko Gaza."
-
Uhispania yasisitiza kuundwa nchi huru ya Palestina mji mkuu ukiwa Beitul-Muqaddas
Jun 02, 2025 22:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uhispania amesisitiza kwamba nchi yake inaunga mkono kwa nguvu zote dhana ya kuundwa nchi huru ya Palestina.
-
Brazil: Israel inafanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza
Jun 02, 2025 22:46Rais Lula Da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachotokea katika Ukanda wa Gaza Palestina sio vita, ni mauaji ya halaiki.
-
Maelfu ya madaktari Uingereza wataka kukomeshwa mashambulizi ya Israel dhidi ya vituo vya afya vya Gaza
Jun 02, 2025 22:46Zaidi ya madaktari na wapasuaji 2,000 wa Uingereza wamelaani "mashambulio ya kuratibiwa" ya utawala wa Israel dhidi ya vituo vya matibabu huko Gaza.
-
China: Marekani ndio chimbuko la ukosefu wa usalama Asia
Jun 01, 2025 22:47Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imelaani matamshi ya uingiliaji mambo ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani kuhusu Bahari ya Kusini ya China na kusisitiza kuwa: "Marekani ikiwa nchi ya kibeberu imekuwa na mchango mkubwa katika kuyumbisha usalama wa Asia.
-
Mashabiki wa PSG waunga mkono Palestina katika mechi ya fainali ya klabu bingwa Ulaya
Jun 01, 2025 08:53Mashabiki wa timu ya soka ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa Palestina.
-
Austria, nchi ya EU yashuhudia ongezeko la wasiojua kusoma, kuandika
Jun 01, 2025 03:35Karibu thuluthi moja ya watu nchini Austria wana uwezo mdogo wa kusoma, jambo linaloashiria ongezeko la kuogofya la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini humo, ofisi ya takwimu za serikali ya nchi hiyo ya Umoja wa Ulaya imesema.
-
Trump amfanyia istihzai Macron kwa kuzabwa kibao na mkewe hadharani+VIDEO
May 31, 2025 06:51Rais wa Marekani, Donald Trump ameonekana kumfanyia dhihaka mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ambaye hivi karibuni alidhalilishwa na mkewe hadharani.
-
Barcelona yavunja uhusiano na Israel kutokana na mauaji ya Gaza
May 31, 2025 06:50Baraza la Jiji la Barcelona limetangaza kuvunja uhusiano wa kitaasisi na utawala wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.