-
Jeffrey Sachs: Marekani bado haikubali ukweli kuwa ubeberu wake umeisha dunaini
May 31, 2025 05:43Mchumi mashuhuri wa Kimarekani, Profesa Jeffrey Sachs, amesema kuwa enzi ya Marekani kuwa dola kuu duniani imefikia kikomo, lakini Washington bado haijakubali ukweli huo.
-
UN: Ni "Uhalifu wa Vita" kuzuia chakula kuwafikia Wapalestina wa Gaza
May 31, 2025 04:29Mkuu wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua ya Israel ya kuzuia misaada ya chakula kwa raia wa Palestina walioko kwenye njaa katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa ni uhalifu wa vita, hasa ikiwa inalenga kuwaondoa kwa lazima.
-
WHO: Matumizi ya tumbaku yanaua watu milioni 6 kila mwaka
May 31, 2025 00:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, matumizi ya tumbaku huua takribani watu milioni sita kila mwaka. Watu laki sita kati ya hao, hufa kutokana na kuathiriwa na moshi wa sigara zinazovutwa na watu wengine.
-
Je, kubadilika mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika, ni kurudi nyuma au kubadilishwa mbinu?
May 30, 2025 08:49Jeshi la Marekani linaendelea kubadilisha na kulegeza misimamo yake ya awali kuhusu "utawala bora" barani Afrika na kukabiliana na vyanzo vya uasi na machafuko, na sasa linasisitiza kwamba serikali dhaifu za Kiafrika zinazoshirikiana na Marekani zinapasa kujitegemea zenyewe kijeshi na kiusalama.
-
Macron: Kuitambua rasmi Palestina kama nchi huru ni jambo la dharura
May 30, 2025 07:38Kufuatia kushadidi mashambulio ya Israel dhidi ya Gaza, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amesisitiza haja ya kutambuliwa rasi Palestina kama taifa.
-
Umoja wa Mataifa: Gaza ndio eneo lenye njaa zaidi duniani
May 30, 2025 07:21Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imelitaja Ukanda wa Gaza kuwa eneo lenye njaa kubwa zaidi duniani na kutangaza kuwa shirika hilo liko tayari mara moja na kwa kiwango kikubwa kupeleka misaada ya kibinadamu katika eneo hilo.
-
Je, kwa nini Ujerumani, muungaji mkono mkubwa zaidi wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni, sasa inaonekana kuukosoa utawala huo?
May 29, 2025 02:48Friedrich Mertz, Kansela wa Ujerumani alibadilisha sauti yake kuhusiana na utawala wa Kizayuni mnamo Jumanne, Mei 27 na kusema: "Mashambulio makubwa ya kijeshi ya Waisraeli katika Ukanda wa Gaza hayana mantiki tena kwangu."
-
Onyo la Trump kwa Netanyahu baada ya kutishia kuishambulia Iran
May 29, 2025 02:47Rais wa Marekani, Donald Trump ameripotiwa kuvutana na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika mazungumzo yao ya simu, baada ya nduli huyo wa vita wa utawala wa Kizayuni kutishia kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, na hivyo kuhatarisha mazungumzo ya kidiplomasia yanayoendelea kati ya Tehran na Washington.
-
Russia yajibu baada ya Trump 'kumtishia nyau' Putin eti 'anacheza na moto'
May 28, 2025 03:18Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa matamshi ambayo yanaonekana ya kumtishia mwenzake wa Russia, Vladimir Putin, ambapo amesema "anacheza na moto," bila kufafanua nini hasa anamaanisha.
-
Mauaji Gaza; Majaji, mawakili 800 wa UK wataka Israel ifukuzwe UN
May 28, 2025 03:17Kundi la mawakili waandamizi, majaji wa zamani na wasomi wengine zaidi ya 800 wa Uingereza wameitaka serikali ya London kuuwekea vikwazo utawala wa Israel, na kushinikiza kusimamishwa uanachama wa Tel Aviv katika Umoja wa Mataifa.