-
Guterres ahudhuria futari ya Waislamu Warohingya wa Myanmar kwenye kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani
Mar 14, 2025 23:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefuturu na wakimbizi wa Rohingya walioko kwenye kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani, Cox Baazar nchini Bangladesh kuonyesha mshikamano na wakimbizi hao na wenyeji wanaowapa hifadhi.
-
UN: Wakati umefika wa kuunda serikali ya shirikishi nchini Syria
Mar 14, 2025 22:55Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza kuwa, wakati umefika sasa wa kuchukua hatua za dhati na za kijasiri za kuunda serikali ya mpito na ya kuaminika nchini Syria.
-
Waziri wa Fedha wa Ufaransa: Kuna udharura wa kujibu 'Vita vya kijinga' vya Trump
Mar 14, 2025 22:54Waziri wa Fedha wa Ufaransa amevitaja vitisho vya Rais wa Marekani, Donald Trump vya kutoza ushuru wa asilimia 200 kwa uagizaji wa bidhaa za Umoja wa Ulaya kuwa ni vya "kijinga".
-
Wizi na uporaji wakithiri UK, kila siku matukio 55,000 ya wizi Uingereza
Mar 14, 2025 22:54Ripoti ya Muungano wa Wafanyabiashara wa Uingereza inaonesha kuwa maduka 55,000 nchini humo hukumbwa na vitendo vya wizi na uporaji kila siku, na robo ya wakazi wa nchi hiyo ya Ulaya wanasema walishuhudia kwa uchache tukio moja la wizi mwaka jana 2024.
-
Kuanza tena Marekani kuipa Ukraine silaha, Putin atoa masharti
Mar 14, 2025 22:53Sambamba na kujaribu kuonesha kuwa msimamo wa Marekani umebadilika kuhusu Russia, rais wa Marekani, Donald Trump hivi sasa anapanga kupeleka shehena mpya ya silaha kwa Ukraine ili kuendeleza vita na Russia ikiwa ni kuonesha siasa zilezile za kila siku za nyuso mbili za Marekani.
-
Wataalamu wa UN waituhumu Israel kwa udhalilishaji wa kingono dhidi ya Wapalestina
Mar 14, 2025 11:28Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wameituhumu Israel kuwa imewadhalilisha kingono na kijinsia Wapalestina wakati wa vita na mauaji ya kimbari ya utawala huo dhidi ya wakazi wa Gaza.
-
Marekani yapanga kuishambulia kijeshi Panama
Mar 14, 2025 03:23Panama imesisitiza kujitolea kwake kudumisha uhuru wake kufuatia ripoti kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump, anatafakari kuchukua hatua za kijeshi kudhibiti 'Mfereji wa Panama'.
-
Waandamanaji New York washinikiza kuachiliwa Mahmoud Khalil
Mar 13, 2025 23:00Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya mahakama ya Manhattan jijini New York nchini Marekani, wakitaka mwanaharakati wa Kipalestina, Mahmoud Khalil aachiliwe huru.
-
Russia yataka kuhuishwa makubaliano ya JCPOA
Mar 13, 2025 23:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesisitiza uungaji mkono wa Moscow kwa kufufuliwa mkataba wa kihistoria uliotiwa saini na Iran na mataifa mengine sita yenye nguvu duniani mwaka 2015.
-
Ripoti: Israel inawaua Wapalestina 3 huko Gaza kila baada ya saa 24
Mar 13, 2025 04:08Israel imewaua Wapalestina 150 kwa kutumia ndege zisizo na rubani, wadunguaji au njaa kama silaha tangu ilipofikia makubaliano ya kusimamisha mapigano na Harakati ya Mapambano ya Palestina Hamas Januari 19 mwaka huu.