-
"Mshtuko" wa hali ya hewa waikumba miji mikubwa duniani, imo miji mikuu ya Afrika
Mar 12, 2025 22:52Utafiti mpya wa hali ya hewa unaonyesha kuwa mabadiliko ya tabianchi tayari yanaathiri miji mingi mikubwa duniani, na kusababisha mabadiliko ya kushangaza kati ya hali ya hewa ya mvua na ya unyevu na ile ya ukame uliokithiri huku hali ya hewa ikizidi kuwa mbaya.
-
Utawala wa Trump wazidisha ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wanaoitetea Palestina
Mar 12, 2025 22:49Hatua ya serikali ya Marekani ya kumtia mbaroni mwanaharakati anayepinga vita na anayeunga mkono Palestina anayepata elimu nchini humo imezidisha wasiwasi kuhusu kushadidi makabiliano ya kiusalama na watetezi wa Wapalestina na vuguvugu la wanafunzi nchini Marekani.
-
Maandamano dhidi ya Trump na Musk kila siku Washington DC
Mar 12, 2025 08:23Mji mkuu wa Marekani, Washington DC, unaendelea kushuhudia maandamano ya karibu kila siku dhidi ya Rais Donald Trump kutokana na hatua zake za kuwaachisha kazi wafanyakazi, kubana matumizi na kusaini maagizo ya kiutendaji ambayo yanakiuka maslahi ya nchi.
-
Manila yamkabidhi Rais wa zamani wa Ufilipino kwa ICC
Mar 12, 2025 03:35Takriban miaka mitatu baada ya kuachia ngazi, Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa na mamlaka za nchi hiyo mjini Manila, kwa ombi la Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ambayo inachunguza madai ya "uhalifu dhidi ya binadamu" unaodaiwa kufanywa na kiongozi huyo katika kipindi cha miaka sita alipokuwa madarakani.
-
CAIR: Matukio ya chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani yalivunja rekodi katika mwaka 2024
Mar 11, 2025 23:09Vitendo vya ubaguzi na mashambulizi dhidi ya Waislamu na Waarabu nchini Marekani vilivunja rekodi mnamo mwaka uliopita wa 2024 sambamba na kuendelea vita vya kikatili vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ghaza Oktoba 7, 2023.
-
Jamaatul-Islami yaitahadharisha serikali ya Pakistan isihadaiwe na hila za Trump
Mar 11, 2025 23:07Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Jamaat-e-Islami Pakistan (JIP) ameihutubu serikali ya Islamabad akisema: Marekani si yenye kuitakia kheri katu Pakistan na haipasi kuridhia matakwa ya nchi hiyo.
-
Mjumbe wa Marekani: Rais Zelensky wa Ukraine ameomba msamaha kwa Trump
Mar 11, 2025 23:04Mjumbe maalumu wa Marekani katika Mashariki ya Kati Steve Witkoff amesema, Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky ameomba msamaha kwa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusiana na sakata lililozuka baina yao wakati wa mkutano kwenye Ikulu ya White House.
-
Trump atishia kuviadhibu vyuo vikuu 60 ili visiruhusu maandamano dhidi ya Israel
Mar 11, 2025 07:56Licha ya kujigamba duniani kuwa Marekani ni kinara wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, lakini utawala wa Donald Trump umetishia kuviadhibu vyuo vikuu 60 vya nchi hiyo kwa kisingizio cha kueneza chuki dhidi ya Mayahudi.
-
CNN: Dalili za kuporomoka uchumi wa Marekani ziko wazi
Mar 11, 2025 03:39Tovuti ya CNN imeashiria katika makala yake kuhusu kuongezeka idadi ya watu walioachishwa kazi, kupungua mchakato wa kuajiri watu, mfumuko wa bei n.k nchini Marekani na kusisitiza kuwa sera za ushuru za Rais Donald Trump wa nchi hiyo zimezidisha matatizo ya kiuchumi nchini humo.
-
Je Magharibi inakabiliwa na mporomoko?
Mar 10, 2025 23:06Zilzala iliyoibuliwa na Trump kwa kujikurubisha kwa Russia ili kuhitimisha vita huko Ukraine imeambatana na chambuzi mbalimbali kuhusu suala la umoja kati ya Marekani na Ulaya.