-
Mjumbe wa Mahakama ya ICC: Kesi ya kuchunguza uhalifu wa Netanyahu inaendelea
Feb 13, 2025 07:16Mjumbe wa timu ya wanasheria wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) amekosoa kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump cha kumkaribisha Benjamin Netanyahu mjini Washington na matamshi yake ya karibuni kuhusu Wapalestina wa Gaza, na kumtaja kiongozi huyo wa Marekani kuwa mtumishi wa mradi wa Israel.
-
Kujipa Marekani hadhi ya kipekee; mtazamo haribifu wenye madhara kwa dunia na hata kwa Marekani yenyewe
Feb 13, 2025 04:21Kujiona Marekani nchi ya kipekee yenye hadhi na ubora kuliko mataifa mengine yote, ni sera ambayo imekuwa na matokeo hasi na yenye madhara kwa dunia na vilevile kwa Marekani yenyewe.
-
CPJ: 2024 ndio mwaka mbaya zaidi katika historia kwa waandishi wa habari, Israel imeua idadi kubwa zaidi
Feb 13, 2025 03:22Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ) imesema mwaka 2024 ulikuwa mwaka mbaya zaidi katika historia iliyorekodiwa kwa waandishi wa habari waliouawa, na kwamba utawala wa Israel unawajibika kwa kuua asilimia 70 ya waandishi 124 waliopoteza maisha mwaka jana.
-
Mwanasheria Mmarekani: Israel imeua Wapalestina 360,000 Gaza
Feb 12, 2025 23:21Mwanasheria mashuhuri wa Marekani na mwanaharakati wa haki za watu asilia anakadiria kuwa jeshi la Israel limewaua takriban watu 360,000 katika vita vyake vya mauaji ya kimbari vilivyodumu kwa muda wa miezi 15 katika Ukanda wa Gaza, akisema kwamba idadi ya vifo vya kweli katika eneo lililozingirwa ni kubwa zaidi kuliko takwimu iliyoripotiwa na vyombo vya habari.
-
Hatua za awali za kumaliza vita ya Ukraine na mustakabali usiojulikana
Feb 12, 2025 09:12Baada ya Russia kumuachilia mfungwa Mmarekani, kitendo ambacho Rais wa Marekani alikielezea kama juhudi ya kumaliza vita vya Ukraine, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, alitangaza kwamba yuko tayari kubadilishana ardhi na Russia.
-
Mahakama ya ICC: Tunalaani vikwazo vya Marekani kwa mwendesha mashtaka wetu
Feb 12, 2025 05:51Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) iliyoko The Hague huko Uholanzi imetoa taarifa ikilaani hatua ya utawala wa Donald Trump kumuwekea vikwazo Mwendesha Mashtaka wa mahakama hiyo, Karim Khan.
-
Papa: Mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina ni mgogoro mkubwa kwa Marekani
Feb 11, 2025 10:45Papa Francis, kiongozi wa Wakatoliki duniani, ametaja kitendo cha utawala wa Trump kuwafukuza wahamiaji kuwa ni mgogoro mkubwa kwa Marekani.
-
Independent: Chuki dhidi ya Waislamu nchini India zimeongezeka mnamo 2024
Feb 11, 2025 10:44Ripoti iliyochapishwa na The Independent imefichua ongezeko kubwa la matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu wa India na dini nyingine za waliowachache, na kumeripotiwa ongezeko la 75% katika 2024 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.
-
Trump atishia kuzikatia misaada Misri na Jordan na kutaka makubaliano ya kusitisha vita Ghaza yafutwe
Feb 11, 2025 03:22Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaweza akafikiria kusitisha msaada kwa Jordan na Misri ikiwa zitakataa kuwapokea Wapalestina, baada ya kutekeleza mpango wake wa kuwahamaisha kwa nguvu wananchi hao katika ardhi yao ya Ukanda wa Ghaza ili kulihodhi na kulimiliki eneo hilo lililowekewa mzingiro.
-
Vita vya ushuru vya Trump: Scholz aapa kujibu mapiga papo hapo
Feb 10, 2025 23:14Kansela wa Ujerumani ameonya kwamba iwapo Marekani itaweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya (EU), watu wa Ulaya watajibu mapigo "ndani ya saa moja."