-
John Mearsheimer: Hakuna nguvu duniani yenye uwezo wa kuishinda Iran
May 26, 2026 02:53Profesa wa sayansi ya siasa na mtaalamu wa nadharia ya mahusiano ya kimataifa amesema kuwa: Wakati Marekani na Israel zimeshindwa kuishinda Iran kwa kutumia nguvu zao zote, katika kipindi cha siku 40 za mashambulizi ya anga, hakuna nguvu nyingine duniani yenye uwezo wa kufanya hivyo.
-
Rais wa China aunga mkono diplomasia ya amani kati ya Iran na Marekani
May 26, 2026 02:50Katika kikao chake na Waziri Mkuu na Mkuu wa Majeshi wa Pakistan, Rais wa China amesisitiza uungaji mkono wa Beijing kwa upatanishi wa Islamabad na diplomasia inayoendelea katika eneo la Magharibi mwa Asia kwa ajili ya amani, akitolea mfano ziara ya hivi karibuni ya Asim Munir, Mkuu wa Majeshi wa Pakistan jijini Tehran.
-
El Baradei: Mwendawazimu Trump anatafuta njia ya kujiondoa kwenye vita dhidi ya Iran
May 25, 2026 09:13Mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ametangaza kuwa mtu mmoja mwendawazimu alianzisha vita dhidi ya Iran na sasa anatafuta njia ya kujiondoa vitani.
-
Sababu za kuongezeka mgawanyiko barani Ulaya kuhusu utawala wa Kizayuni
May 24, 2026 06:54Mbali na maoni ya wananchi, baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya pia wameutaka Umoja wa Ulaya uchukue hatua kali dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na viongozi wake.
-
Sababu za kuongezeka mgawanyiko barani Ulaya kuhusu utawala wa Kizayuni
May 24, 2026 06:54Mbali na maoni ya wananchi, baadhi ya wabunge wa Bunge la Ulaya pia wameutaka Umoja wa Ulaya uchukue hatua kali dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na viongozi wake.
-
Sababu ya kujiuzulu Mkurugenzi wa Intelijensia ya Kitaifa wa Marekani
May 23, 2026 13:14Kuibuka kwa baadhi ya tofauti kati ya Rais wa Marekani na mkuu wa jumuiya ya ujasusi ya nchi hiyo kumezua shaka kuwa kujiuzulu kwa Tulsi Gabbard kulitokana na sababu za kisiasa.
-
Mkuu wa ujasusi wa Trump ajiuzulu kwa mashinikizo ya White House kuhusu vita haramu dhidi ya Iran
May 23, 2026 03:01Mkurugenzi wa Ujasusi wa Kitaifa (DNI) wa Rais wa Marekani, Donald Trump, Tulsi Gabbard, amejiuzulu kutokana na shinikizo kubwa la Ikulu ya White House baada ya kupinga vikali vita haramu na vya uchokozi vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Russia: Suala la nyuklia linaweza kutatuliwa kwa kuzingatia maslahi ya Iran
May 23, 2026 02:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova, anasema kwamba mgogoro unaoendelezwa na Marekani kuhusu suala la nyuklia la Iran unaweza tu kutatuliwa kwa njia za kidiplomasia na kwa kutilia maanani maslahi ya Iran.
-
Viwango vya Undumakuwili wa Ulaya; Kwa Nini Jinai za Israel Zinanyamaziwa Kimya?
May 22, 2026 15:20Hatua ya utawala wa Kizayuni ya kukamata meli 50 zilizokuwa zimebeba wanaharakati 428 wa haki za binadamu na misaada ya kibinadamu kutoka nchi 44 kwa ajili ya Wapalestina wanaozingirwa na utawala huo huko Gaza katika bahari ya Mediterania imeibua wimbi la hasira na chuki dhidi ya Wazayuni.
-
San Diego yaaga wahanga wa shambulizi dhidi ya Kituo cha Kiislamu katika mazishi ya heshima
May 22, 2026 15:03Zaidi ya watu 2,000 walihudhuria mazishi yaliyofanyika jana Alhamisi ya wahanga watatu wa shambulio dhidi ya msikiti na Kituo cha Kiislamu huko San Diego, California, huku kukiwa na huzuni kubwa zilizoandamana na pongezi kwa kujitolea wahanga hao waliowalinda watoto zaidi ya 140 waliokuwa ndani ya shule ya kituo hicho.