-
Rais wa Russia: Karibuni hivi viongozi wote wa Ulaya 'watamtikisia mikia' Trump japo hawampendi
Feb 03, 2025 02:23Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Umoja wa Ulaya daima umekuwa ukipokea ishara za uchukuaji hatua zake za kisiasa kutoka Washington na utaendelea kufanya hivyo wakati huu Donald Trump akiwa madarakani; na kwamba licha ya baadhi ya viongozi wa umoja huo kupinga vikali kuchaguliwa tena Trump, rais huyo mpya wa Marekani "atarejesha utulivu" na utiifu wa EU "haraka sana".
-
Iceland yasisitiza kuendelea shughuli za UNRWA huko Palestina
Feb 02, 2025 23:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa wa Iceland amesisitiza juu ya udharura wa kuendelea kwa shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu hadi utatuzi wa uhakika na wa amani wa mzozo wa Palestina na Israel utakapopatikana.
-
Rais wa Cuba: Muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani
Feb 02, 2025 23:01Rais Wa cuba amesema kuwa, muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani.
-
Ushuru wa Trump: Canada na Mexico zajibu mapigo, China yaonya
Feb 02, 2025 22:57Canada, Mexico na China zimeapa kujibu mapigo ya uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani, wa kutoza ushuru wa juu kwa mataifa hayo matatu, na kuisukuma Washington katika vita vya kibiashara na nchi mbili jirani, na China yenye nguvu kubwa.
-
Kundi la Hague ni nini na kwa nini limeanzishwa?
Feb 02, 2025 09:04Baada ya kutangazwa usitishaji mapigano na kupita miezi 15 ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, nchi tisa kutoka Asia, Afrika na Amerika ya Kusini zimeunda kundi lililopewa jina la The Hague Group kwa ajili ya kutetea Palestina.
-
Waislamu waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hijabu
Feb 02, 2025 08:57Waislamu katika maeneo mbalimbali jana waliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hijabu.
-
Mwanasiasa mwenye chuki dhidi ya Uislamu Denmark avunjia heshima Qur'ani
Feb 02, 2025 07:31Mwanasiasa mwenye uraia pacha wa Sweden na Denmark na mwenye chuki dhidi ya Uislamu, Rasmus Paludan kwa mara nyingine tena ameivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu cha Waislamu katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.
-
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Michigan wanaoiunga mkono Palestina wasimamishwa kwa miaka 2
Feb 02, 2025 04:02Uongozi wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani umesimamisha shughuli za kundi la wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina kwa muda wa miaka miwili.
-
Kwa nini Trump anapinga sarafu moja ya BRICS?
Feb 01, 2025 23:17Donald Trump amezitishia nchi wanachama wa kundi la BRICS na kuandika katika mtandao wake makhususi wa kijamii wa Truth Social kwamba atazitoza nchi hizo ushuru wa asilimia 100 ikiwa zitazindua sarafu yao ya pamoja.
-
Sweden yawaachia huru watu watano katika kesi ya mauaji ya 'Mchoma Qur'ani'
Feb 01, 2025 09:28Mahakama ya Sweden imewaachilia huru watu 5 ambao walikamatwa kuhusiana na mauaji ya mkimbizi wa Salwan Momika, ambaye alichoma moto na kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu mara kadha mwaka 2023.