-
Nchi 9 zaunda 'Kundi la Hague' kutetea haki za Wapalestina
Feb 01, 2025 03:52Nchi tisa zimetangaza kuunda "Kundi la Hague" la kupigania haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Mbunge wa Ukraine aitaka EU imuue kigaidi Rais Putin
Feb 01, 2025 03:51Mbunge wa Ukraine, Aleksey Goncharenko amewataka wazi wazi wabunge wa Umoja wa Ulaya kuunga mkono wazo la kuuawa Rais wa Russia, Vladimir Putin na kulipigia debe miongoni mwa watu wa kawaida.
-
Karibu nusu ya Wadenmark wanaamini Marekani ni tishio kwa nchi yao
Jan 31, 2025 23:00Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya UGO ya nchini Uingereza yameonyesha kuwa asilimia 46 ya wananchi wa Denmark wanaamini kuwa Marekani ni tishio kuu kwa nchi yao.
-
Da Silva: Tutalipiza kisasi dhidi ya ushuru wa Trump
Jan 31, 2025 09:59Rais wa Brazil ametangaza kuwa: "Iwapo Donald Trump atatoza ushuru kwa bidhaa za Brazil, tutachukua hatua sawa za kulipizia kisasi."
-
CNN: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa nchini Ukraine inaongezeka
Jan 31, 2025 09:58Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa kwenye mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine imeongezeka katika kipindi cha miezi 6 iliyopita.
-
Seneta wa Marekani anayepinga Iran ahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela
Jan 30, 2025 23:22Seneta wa Marekani ambaye alikuwa na misimamo mikali dhidi ya Iran amehukumiwa kifungo kwa kupatikana na hatia ya ufisadi na kupokea hongo.
-
Mayahudi wa Marekani: Israel imeshindwa katika vita vya Gaza
Jan 30, 2025 23:22Zaidi ya asilimia 80 ya jamii ya Wayahudi wa Marekani walioshiriki katika uchunguzi wa maoni wametangaza kuwa, Israel katu haijapata ushindi katika vita vya Gaza.
-
Uhuru wa kujieleza kwa mtindo wa Trump; Wanafunzi wa Marekani wanaounga mkono Palestina wanafukuzwa
Jan 30, 2025 23:22Rais wa Marekani ametia saini amri ya kufuatilia shughuli za wanafunzi wa vyuo vikuu na kuwafukuza iwapo itagundulika kuwa wanaiunga mkono Palestina!
-
Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC
Jan 30, 2025 23:19Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.
-
Maiti 30 zaopolewa mtoni baada ya ndege ya abiria kugongana na helikopta Marekani
Jan 30, 2025 09:20Kwa akali miili 30 imetolewa katika maji ya Mto Potomac kufuatia ajali ya kugongana ndege moja ya abiribia na helikopta ya kijeshi jirani na Uwanja wa Ndege wa Reagan mjini Washinton DC Marekani.