-
Watu 350 waaga dunia katika maporomoko ya ardhi nchini India
Aug 04, 2024 08:44Idadi ya watu walioaga dunia nchini India baada ya jimbo la Kerala kukumbwa na janga la kimaumbile na maporomoko ya ardhi imeongezeka na kkufikia 350.
-
Maandamano ya kuiunga mkono Palestina yafanyika katika nchi 6 za Ulaya
Aug 03, 2024 23:30Maandamano makubwa ya kuiunga mkono na kutangaza mshikamano na Palestina yameshuhudiwa katika miji mbalimbali ya nchi barani Ulaya.
-
Maduro: Uzayuni wa kimataifa unapanga njama za kufanya mapinduzi nchini Venezuela
Aug 03, 2024 22:53Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, Marekani na Uzayuni wa kimataifa wako nyuma ya pazia la kujaribu kufanya mapinduzi nchini Venezuela.
-
The Times: Habari ya uongo imesababisha ghasia dhidi ya Waislamu huko Southport, Uingereza
Aug 03, 2024 03:25Gazeti la The Times la Uingereza limeripoti kwamba madai ya uongo kwenye tovuti ya habari ya kutatanisha yamezua wimbi la hasira katika jiji la Southport (kaskazini-magharibi mwa Uingereza), kwa msingi wa tukio la mauaji ya wasichana watatu wadogo lililotokea katika mji huo mapema Jumatatu iliyopita.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Mauaji ya Haniyeh yamefanyika kwa msaada wa Marekani na Uingereza
Aug 03, 2024 00:58Larry C. Johnson, afisa mstaafu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), amesema kuwa mauaji yalioyofanywa na Israel dhidi ya Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, yamevuka mstari mwekundu na kuongeza kuwa mauaji hayo yametekelezwa kwa taarifa na msaada wa Uingereza na Marekani.
-
Waislamu wa Hamburg watekeleza Swala barabarani wakipinga kufungwa msikiti wao
Aug 03, 2024 00:57Waislamu wa Hamburg nchini Ujerumani jana walikusanyika na kuswali barabarabi mbele ya Msikiti Imam Ali wakilalamikia ukandamizaji dhidi ya jamii za Kiislamu.
-
Maduro: Hatutakubali Venezuela iangukie mikononi mwa mafashisti
Aug 01, 2024 23:13Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema taifa hilo katu halitaruhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe viripuke nchini humo, huku akizikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kuchochea vurugu na ghasia zinazoendelea kushuhudiwa nchini humo baada ya uchaguzi wa rais.
-
Onyo la Guterres kuhusu hatari iliyopo baada ya mashambulizi ya Beirut na Tehran
Aug 01, 2024 07:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameitaka jumuiya ya kimataifa kuzuia kusambaa kwa mzozo Mashariki ya Kati, kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya mji mkuu wa Lebanon Beirut na kuripotiwa kuuawa kwa kiongozi mkuu wa Hamas nchini Iran.
-
Baraza la Usalama la UN lalaani mauaji ya Israel dhidi ya kiongozi wa Hamas nchini Iran
Aug 01, 2024 07:39Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) wamelaani mauaji ambayo yametekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ismail Haniyah, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, mjini Tehran.
-
Zaidi ya watu 120 wafariki dunia katika maporomoko ya ardhi India
Jul 31, 2024 03:55Zaidi ya watu 120 wanaripotiwa kupoteza maisha nchini India baada ya jimbo la Kerala kukumbwa na janga la kimaumbile na maporomoko ya ardhi.