-
Afisa wa Marekani aliyejiuzulu: Wanajeshi wa Marekani wanashiriki katika vita vya Israel huko Gaza
Jun 26, 2024 23:29Afisa aliyejiuzulu kutoka Shirika la Ujasusi la Ulinzi la Marekani, Meja Harrison Mann, amesema kuwa vita vilivyoanzishwa na Israel katika Ukanda wa Gaza havingeweza kuendelea hadi leo bila msaada usio na kikomo wa Marekani, akisisitiza kwamba wanajeshi wa Marekani wanapigana katika kuilinda Israel.
-
Erdogan: Nchi za Magharibi zimekuwa mateka wa mtu kichaa kama Netanyahu
Jun 26, 2024 23:28Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan alisema jana Jumatano kwamba nchi yake inasimama bega kwa bega na Lebanon kutokana na mvutano unaozidi kuongezeka na utawala wa Kizayuni wa Israel, na amezitaka pande za kikanda kumuunga mkono katika msimamo huo.
-
Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka
Jun 26, 2024 08:19Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuwa, madola yenye silaha za nyuklia yapo katika hatari ya kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja.
-
Watu 6 wauawa katika ufyatuaji risasi Las Vegas, Marekani
Jun 26, 2024 03:42Takriban watu 6 wameuawa kwa kupigwa risasi huko Las Vegas, Nevada, huko Marekani akiwemo mshukiwa.
-
CAIR: Dunia ina wajibu wa kukomesha mauaji ya watoto Gaza
Jun 25, 2024 22:48Kundi la kutetea haki za Waislamu na kiraia nchini Marekani limeeleza kusitikishwa na hali mbaya ya watoto katika Ukanda wa Gaza, na kusisitiza kuwa jamii ya kimataifa na wajibu wa kusimamisha mauaji ya watoto Gaza.
-
Wataalamu wa kijeshi: Askari wa akiba wa Israel wamekataa kurudi Gaza, wakimbilia nje
Jun 25, 2024 22:48Mtaalamu wa masuala ya kijeshi, Meja Jenerali mstaafu Wassef Erekat, amesema kuwa tangazo la askari wa akiba wa Israel kwamba hawatarejea katika utumishi wa jeshi katika Ukanda wa Gaza, hata kama wataadhibiwa, linaonyesha ukweli halisi katika uwanja wa vita, na ni ushahidi kutoka kwa adui mwenyewe wa ufanisi wa wanamapambano wa Kipalestina.
-
Julian Assange aliachiliwa huru kutoka gerezani Uingereza
Jun 25, 2024 10:10Mwanzilishi wa tovuti ya kufichua kashfa mbalimbali, "WikiLeaks", Julian Assange, ameachiwa huru kutoka jela nchini Uingereza baada ya kufungwa kwa miaka 14.
-
Pongezi kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Jun 24, 2024 23:25Leo Jumanne tarehe 25 Juni 2024 inayosadifiana na tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria ni Sikukuu ya Idd Sayyid Ghadir Khum, moja ya Idd kubwa za Waislamu.
-
Borrell: Hali ya mambo ya Gaza haielezeki kufuatia mashambulizi ya Israel
Jun 24, 2024 07:49Josep Borrel Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa hali ya mambo katika Ukanda wa Gaza ambako Israel inaendeleza mashambulizi yake ya mauaji ya unati tangu Oktoba mwaka jana haielezeki.
-
Balozi wa utawala wa Kizayuni atimuliwa Colombia
Jun 24, 2024 03:34Balozi wa Israel ametimuliwa nchini Colombia baada ya Bogota kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni kutokana na mashambulizi na jinai zisizokwisha za Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa wa Ukanda wa Ghaza.