-
Kushadidi mivutano ya kijeshi baina ya Russia na Marekani
Jun 23, 2024 23:59Mvutano wa kijeshi na kiusalama kati ya Russia na Marekani umeongezeka kutokana na hatua za kiuhasama za Washington dhidi ya Moscow, hasa baada ya Washington kuiruhusu Ukraine kushambulia ardhi ya Russia kwa kutumia silaha za Marekani.
-
Radiamali ya Josep Borrell kwa shambulio la Wazayuni kwenye Ofisi ya Msalaba Mwekundu huko Gaza
Jun 23, 2024 04:36Joseph Borrel Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amelaani shambulio la utawala wa kigaidi wa Israel dhidi ya ofisi ya Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu katika huko Ukanda wa Gaza.
-
Guterres aitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka mkabala wa mabadiliko ya tabianchi
Jun 23, 2024 04:16Antonio Guterres Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitolea wito jamii ya kimataifa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
-
Vyombo vya habari vya Marekani: Israel imeachana na nia ya kuimaliza HAMAS baada ya kushindwa
Jun 22, 2024 23:17Shirika la habari la Bloomberg limefichua katika ripoti yake kuwa jeshi la utawala wa Kizayuni limeachana na lengo lake kuu lililotajwa katika shambulio la Gaza ambalo ni kuiangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
Cuba kujiunga rasmi kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel ICJ
Jun 22, 2024 07:48Cuba imetangaza kutuma ombi la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai dhidi ya binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
Guterres: Dunia haiwezi kustahamili Lebanon iwe Gaza nyingine
Jun 22, 2024 07:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasi wasi mkubwa alionao kutokana na kushtadi taharuki baina ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na utawala wa Israel na kusisitiza kuwa, dunia haiwezi kuvumilia Lebanon igeuzwe Gaza nyingine.
-
Wataalamu wa UN: Wauzaji silaha kwa Israel wanashiriki katika ukiukaji wa haki za binadamu
Jun 22, 2024 03:21Kundi la wataalamu wa Umoja wa Mataifa limewaonya watengenezaji wa silaha na zana za kivita kuhusu kupeleka silaha kwa utawala ghasibu wa Israel na kutangaza kuwa, wanaofanya hivyo ni washirika wa utawala wa Kizayuni katika kukiuka haki za binadamu na sheria za kimataifa.
-
Uanachama katika shirika la BRICS kuwekewa masharti
Jun 22, 2024 03:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza masharti mapya kwa nchi zinazotaka kujiunga na jumuiya ya BRICS.
-
Uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu waongezeka Ulaya baada ya vita vya Gaza
Jun 20, 2024 22:45Ripoti za chuki na ukiukwaji wa haki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kuogofya katika nchi za Ulaya tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7, 2023.
-
Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine
Jun 20, 2024 22:45Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.