-
Siku ya mkimbizi: Idadi ya Wakimbizi duniani yaongezeka na kufikia milioni 120
Jun 20, 2024 08:31Dunia leo imeadhimisha siku ya wakimbizi, kauli mbiu ikiwa ni “mshikamano na wakimbizi” huku idadi ya wakimbizii duniani ikiripotiwa kuongezeka.
-
Colombia yawataka wakaazi wa utawala wa Kizayuni wapinge jinai za Netanyahu
Jun 20, 2024 03:37Rais wa Colombia amewataka walowezi wa Kizayuni kusimama dhidi ya jinai na mashambulizi ya jeshi la utawala katili wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wasiwasi wa nchi za Magharibi kuhusu safari ya Rais Vladimir Putin nchini Korea Kaskazini
Jun 19, 2024 23:20Katika mkesha wa safari yake nchini Korea Kaskazini, Rais Vladimir Putin wa Russia aliandika katika makala kwamba nchi mbili hizo zinaelekea kwenye ushirikiano wa karibu na umoja licha ya kuwepo mashinikizo ya nchi za Magharibi.
-
Russia: Ukraine katu haitajiunga na shirika la kijeshi la NATO
Jun 19, 2024 08:47Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa Ukraine kuwa mwanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO.
-
Unyanyasaji wa kijinsia waongezeka katika shule za Uingereza
Jun 19, 2024 04:40Utafiti wa pamoja wa Muungano wa wafanyakazi wa kielimu, "Unison" na "UK Feminista" nchini Uingereza unaonyesha kuwa robo ya wafanyakazi wa shule za upili katika nchi hiyo wameshuhudia unyanyasaji wa kijinsia katika mazingira ya shule hizo, katika miaka 5 iliyopita.
-
Putin aitembelea Korea Kaskazini baada ya miaka 24
Jun 19, 2024 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia amewasili nchini Korea Kaskazini katika ziara ya nadra inayoonyesha kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
-
Putin: Njama za Magharibi za kujaribu kuidhibiti Russia zimefeli
Jun 18, 2024 07:02Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, njama zote za madola ya Magharibi za kutaka kuifanya Moscow itengwe kimataifa zimefeli.
-
Oxfam yaikosoa serikali ya London kwa kuendelea kutuma silaha Israel
Jun 18, 2024 02:10Shirika la kimataifa la misaada la Oxfam limelaani siasa za serikali ya Uingereza za kuuzia silaha utawala haramu wa Israel, ilihali inajua fika kwamba silaha hizo zinatumika katika kuwaua maelfu ya watoto wasio na hatia wa Kipalestina huko Ghaza.
-
Mapigano yanaendelea Myanmar, hofu ya maelfu ya Warohingya kuzingirwa
Jun 17, 2024 23:04Kundi la kabila lenye silaha nchini Myanmar linajiandaa kufanya mashambulizi dhidi ya vituo vya kijeshi katika mji wa pwani kwenye mpaka na Bangladesh, huku kukiwa na hofu kwamba makumi ya maelfu ya Waislamu wa Rohingya watakamatwa katika mapigano magharibi mwa nchi hiyo.
-
Ombi la Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa la utawala wa Israel kuwekewa vikwazo vya kisiasa na kiuchumi
Jun 17, 2024 04:37Akiashiria kwamba njaa ya hivi sasa huko Gaza ni moja ya njaa kubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya mwanadamu amesema Israeli ilianzisha kampeni kubwa mnamo Oktoba mwaka uliopita kwa ajili ya kuwaweka njaa watu wa Palestina ambapo wengi wao hasa watoto wamekuwa wakipoteza maisha kutokana na baa hilo la njaa ya kulazimishwa. Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki ya Chakula amesema wataalamu huru wa kimataifa wanayachukulia matukio ya sasa huko Gaza kuwa ni mauaji ya halaiki, n