-
Russia yatungua makumi ya droni, maroketi ya Ukraine
Jun 16, 2024 23:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imetungua maroketi na ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine (droni) ndani ya saa 24.
-
Maelfu waandamana Scotland kulaani jinai za Israel Gaza
Jun 16, 2024 09:11Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Scotland, Glasgow kushiriki maandamano ya kulaani jinai za Israel na kutangaza kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya Israel.
-
Jeshi la Marekani liliendesha kampeni ya siri dhidi ya China wakati wa janga la UVIKO-19
Jun 16, 2024 02:33Shirika la habari la Reuters la nchini Uingereza limeripoti kuwa, jeshi la Marekani liliendesha operesheni ya siri ya kisaikolojia ili kuidhoofisha China wakati wa janga la UVIKO-19.
-
Rais wa Brazil alaani jinai za utawala wa Kizayuni Israel Gaza
Jun 15, 2024 07:55Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, haki ya kujihami inayodaiwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza imegeuka na kuwa haki ya kulipiza kisasi katika kivuli cha ukiukwaji wa kila siku wa sheria na haki binadamu.
-
Le Monde: Ususiaji waziathiri vibaya bidhaa za Marekani
Jun 14, 2024 09:59Gazeti la Le Monde la Ufaransa limeripoti kwamba makampuni ya Marekani yako katika kipindi kigumu hivi sasa kwa kususiwa bidhaa zao kutokana na uungaji mkono wao kwa Israel.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania ayataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina
Jun 14, 2024 04:02Pedro Sanchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameyataka mataifa ya Ulaya kuitambua rasmi Palestina kama nchi na dola huru.
-
Polisi Argentina wakabiliana na waandamanaji wanaopinga mageuzi
Jun 13, 2024 08:26Mamia ya polisi wa kutuliza fujo nchini Argentina wametumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya waandamanaji wenye hasira katika mji mkuu wa nchi hiyo, Buenos Aires.
-
Msimamo mpya wa Colombia: Kurudiwa mashtaka ya mauaji ya kimbari dhidi ya Israel na kuombwa misaada zaidi kwa ajili ya Ukanda wa Gaza
Jun 13, 2024 04:32Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Colombia kwa mara nyingine tena amelaani mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza na kutaka misaada zaidi ya kibinadamu itumwe kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina wanaoishi katika eneo hilo linalozingirwa.
-
Yaliyoifanya Marekani ipendekeze katika Baraza la Usalama la UN azimio la kusitishwa vita Ghaza
Jun 12, 2024 22:40Marekani ambayo huko nyuma ilionyesha waziwazi kuwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuyapigia kura ya turufu mara kadhaa maazimio tofauti ya Umoja wa Mataifa ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza, hatimaye siku ya Jumatatu Juni 10 iliwasilisha azimio jipya la usitishaji vita ambalo lilipitishwa na Baraza la Usalama kwa kura 14 kati ya 15 zilizounga mkono, ukiondoa Russia tu iliyoamua kutopiga kura.
-
Mtoto wa rais wa Marekani Joe Biden apatikana na hatia kwenye kesi tatu
Jun 12, 2024 07:47Mtoto wa rais wa Marekani amepatikana na hatia katika kesi zote tatu zilizokuwa zinamkabili ikiwa ni pamoja na uhalifu wa kununua silaha wakati akiwa mtumiaji wa dawa za kulevya.