-
RSF: Kulenga waandishi wa habari huko Gaza limekuwa jambo la "kawaida sana"
Apr 13, 2024 08:38Shirika la Maripota Wasio na Mipaka (RSF) limelaani mashambulizi ya jeshi la Israel yaliyowalenga waandishi watatu wa habari jana, Ijumaa huko Gaza, na kusema kuwa kuwalenga waandishi wa habari limekuwa "jambo la kawaida sana."
-
Nchi kadhaa za Ulaya kutambua rasmi taifa la Palestina
Apr 13, 2024 04:07Viongozi wa Ireland na Uhispania wametangaza kuwa nchi kadhaa za bara la Ulaya zinakaribia kutambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Ufaransa, India, Russia, Uingereza zaonya raia wao kutokwenda Israel
Apr 13, 2024 03:56Nchi kadhaa zikiwemo Ufaransa, India, Russia, Poland na Uingereza zimewaonya raia wao dhidi ya kusafiri kwenda Israel, huku kukiwa na jibu linalotarajiwa la Iran kwa shambulio la kigaidi la utawala wa Israel kwenye ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria mapema mwezi huu.
-
Mamia ya mashirika na taasisi za kutetea haki za binadamu zataka kusitishwa uuzaji silaha kwa Israel
Apr 12, 2024 23:15Zaidi ya mashirika na taasisi 250 za kutetea haki za binadamu kutoka nchi tofauti za dunia zimetoa wito wa kusimamisha upelekaji silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Euro-Med: Zaidi ya Wapalestina 13,000 hawajulikani waliko tangu vilipoanza vita vya Ghaza hadi sasa
Apr 12, 2024 07:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediterranean Human Rights Watch limetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 13,000 wametoweka na hawajulikani waliko tangu vilipoanza vita katika Ukanda wa Ghaza hadi sasa.
-
Kwa upinzani wa Marekani, UNSC haijaweza kufikia mwafaka wa kuipatia Palestina uanachama kamili
Apr 12, 2024 06:50Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) amesema, japokuwa baraza hilo limefufua matumaini ya Palestina kujiunga na Umoja wa Mataifa kwa kupatiwa uanachama kamili, lakini muafaka juu ya suala hilo bado haujaweza kufikiwa.
-
Umoja wa Mataifa wabainisha 'wasiwasi mkubwa' kuhusu Israel kuua wafanyakazi wa misaada Gaza
Apr 12, 2024 03:57Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema limetiwa "wasiwasi mkubwa" na shambulio la anga la hivi karibuni lililofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuua wafanyakazi saba wa shirika la misaada lenye makao yake makuu nchini Marekani.
-
Russia yataka kutekelezwa haraka amri ya Umoja wa Mataifa ya kukomeshwa vita Ghaza
Apr 11, 2024 06:24Russia imetaka kutekelezwa haraka na bila ya masharti azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu kusimamishwa mara moja mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Ghaza.
-
Usaliti wa Ulaya kwa Ghaza umefuta itibari illiyokuwa nayo kwa jamii ya kiraia ya Ulimwengu wa Tatu
Apr 11, 2024 04:24Uungaji mkono wa Umoja wa Ulaya kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, umeufanya umoja huo upoteze itibari uliyokuwa umeipata kwa tabu kubwa katika jamii ya kiraia barani Afrika, Asia na Asia Magharibi.
-
Rais wa Marekani aona "fakhari kubwa" NATO kujipanua hadi kwenye mipaka ya Russia
Apr 11, 2024 04:23Rais Joe Biden wa Marekani amepongeza upanuzi zaidi wa shirika la kijeshi la NATO kuelekea mipaka ya Russia, huku akimshutumu mpinzani wake wa Republican Donald Trump kwamba amedhoofisha umoja wa kambi hiyo ya kijeshi inayoongozwa na Marekani.