-
UN: Watu bilioni 2.2 duniani hawana maji safi ya kunywa
Mar 22, 2024 22:53Kuongezeka kwa uhaba wa maji duniani kunachochea migogoro zaidi na kuchangia kukosekana kwa utulivu, Umoja wa Mataifa unaonya katika ripoti mpya, ambayo inasema upatikanaji wa maji safi ni muhimu katika kukuza amani.
-
Viongozi wa EU waionya Israel dhidi ya kuishambulia Rafah
Mar 22, 2024 07:27Viongozi wa Umoja wa Ulaya wameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel ufute mpango wake wa kuuvamia na kuushambulia kijeshi kupitia ardhini mji wa Rafah ulioko kusini ya Ukanda wa Gaza.
-
Axios: Netanyahu atasusiwa na sehemu kubwa ya wawakilishi wa Congress
Mar 22, 2024 03:29Tovuti ya habari ya Marekani ya Axios imesema kuwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, huenda akasusiwa pakubwa na "wabunge wa Congress ikiwa atakubali mwaliko wa kuzungumza mbele ya Bunge la Marekani.
-
Guterres aonya dhidi ya "sera za kindumakuwili" kuhusu mafaili ya Ukraine na Gaza
Mar 21, 2024 23:49Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameionya jamii ya kimataifa dhidi ya "sera za kindumakuwili" katika kushughulikia mafaili ya Ukraine na Gaza.
-
UNICEF: Israel inaendesha "vita vya kuwalenga watoto" wa Ghaza iliyowekewa mzingiro
Mar 21, 2024 23:00Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF James Elder amesema matukio yanayojiri katika Ukanda wa Ghaza ni "vita dhidi ya watoto," na kusisitiza kuwa eneo hilo hivi sasa si mahala pa kuishi watoto.
-
Msomi Myahudi akosoa vikali UN kushindwa kuchukua hatua juu ya Ghaza kutokana na kura za veto
Mar 21, 2024 22:56Mtengenezaji filamu mashuhuri wa Kiyahudi Haim Bresheeth, ambaye pia ni mpiga picha na msomi mtajika amekosoa vikali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushindwa kuchukua hatua katika mzozo wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Palestina kutokana na kura ya turufu inayoshikiliwa na wanachama wake watano wa kudumu.
-
Maafisa wa zamani wa Marekani wamwambia Biden: Mauaji ya Israel dhidi ya raia hayawezi kuhalalishwa
Mar 21, 2024 04:46Takriban maafisa 70 wa zamani wa serikali ya Marekani, wanadiplomasia na wanajeshi wamemsihi Rais Joe Biden wa nchi hiyo aionye Israel kuhusu matokeo mabaya ikiwa itaendelea kuwanyima Wapalestina haki za kiraia na mahitaji ya kimsingi na kuendelea kupanua ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Sunak abanwa koo baada ya mpango wa kuwapeleka wakimbizi Rwanda kusitishwa
Mar 21, 2024 04:26Mpango wa Serikali ya Uingereza, wa kuwatuma waomba hifadhi nchini Rwanda, umepata pigo jingine baada ya Bunge la Wawakilishi kupiga kura ya kurejesha mapendekezo yao ya awali, ambayo yalikataliwa na Bunge.
-
UN: Wahalifu wanachuma dola bilioni 236 kila mwaka kwa biashara ya ngono na utumwa
Mar 20, 2024 08:02Utumikishaji binadamu kwenye sekta ya uchumi binafsi ikiwemo biashara ya ngono, viwandani na kwenye mashamba huingiza dola bilioni 236 za faida isiyo halali kila mwaka. Hayo yameelezwa katika ripoti mpya na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi Duniani, ILO.
-
Polisi ya Brazil yamshtaki rais wa zamani Bolsonaro kwa kughushi cheti cha chanjo ya COVID
Mar 20, 2024 08:02Polisi ya Brazil imependekeza rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro ashtakiwe kwa kughushi cheti chake cha chanjo ya COVID.