-
Ana kazi lakini ana njaa; kwa nini wazazi wa Uingereza wanatafuta misaada ya chakula?
Dec 15, 2025 23:20Kadiri uchumi wa Uingereza unavyozidi kulegea na kuporomoka, takribani robo ya wazazi wenye ajira nao wanalazimika kutafuta msaada wa chakula cha bure kutoka mashirika ya hisani.
-
Shujaa Muislamu aliyejitolea kupambana na gaidi kuwaokoa Mayahudi Australia + VIDEO
Dec 15, 2025 03:26Shujaa Muislamu ambaye video yake imeenea mno mitandaoni ikimuonesha akijitolea kwenda katikati ya ufyatuaji risasi na kujikubalisha kupigwa risasi lakini aweze kupambana na kumnyang'anya silaha gaidi aliyekuwa anawafyatulia risasi Mayahudi huko Sydney, anaendelea kupongezwa kote duniani na kuambiwa kwamba ni shujaa ambaye kujitolea kwake kumeweza kuoko maisha ya watu wengi.
-
Vifaa vya tiiba vya Iran sasa kuzalishwa nchini Venezuela
Dec 14, 2025 23:36Wizara ya Sayansi na Teknolojia ya Venezuela imetangaza kusainiwa makubaliano ya kimkakati na kampuni ya Iran kwa ajili ya kuzindua njia nne za uzalishaji wa vifaa muhimu vya matibabu nchini Venezuela.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Dec 14, 2025 22:48Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Ripoti yatahadharisha: Mamilioni ya Waingereza Waislamu wako hatarini kuvuliwa uraia
Dec 14, 2025 06:15Mamlaka ya kunyang'anya uraia yanayoelezewa kuwa ni ya "kupindukia mpaka na yenye usiri" iliyopewa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza yanawaweka mamilioni ya Waislamu raia wa nchi hiyo katika hatari ya kuvuliwa uraia wao.
-
Idadi ya watu waliokufa katika mafuriko Indonesia yapindukia 1000
Dec 14, 2025 03:39Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na janga la mafuriko nchini Indonesia imeongezeka na kupindukia 1000.
-
Azimio jipya la Baraza Kuu la UN; Msimamo wa kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2025 22:36Sambamba na Israel kukiuka usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio jipya linaloitaka Tel Aviv kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuhusu eneo hilo la Palestina.
-
Ukosoaji waongezeka kuhusu afya ya Trump baada ya kuonekana mchovu hadharani
Dec 13, 2025 07:48Mjadala kuhusu afya ya Rais wa Marekani Donald Trump umechacha upya baada ya matukio kadhaa ya hadharani ambapo alionekana mchovu au kusinzia, hali iliyozua maswali mapya kuhusu uwezo wake kiafya katika umri wake wa miaka 79.
-
Kuongezeka idadi ya nchi zilizosusia Mashindano ya Eurovision kulalamikia kushirikishwa utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2025 05:54Idadi ya nchi zilizosusia mashindano ya Eurovision zikipinga kushirikishwa utawala wa Kizayuni katika mashindano hayo, imeongezeka.
-
‘Ondoka, mwizi wewe. Barakoa yako imeanguka’: Maduro aishutumu Marekani kwa kunyemelea mafuta ya Venezuela
Dec 13, 2025 04:19Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, ameishutumu Marekani kwa kutumia madai ya biashara haramu ya dawa za kulevya kama kisingizio cha kunyakua maliasili za nchi yake, hasa mafuta ya petroli.