-
Trump, Clinton na Gates waonekana katika seti mpya ya picha za Epstein
Dec 13, 2025 03:52Wanachama wa chama cha Democratic katika Congress ya Marekani wamefichua picha mpya zinazomdhihirisha Rais wa Marekani, Donald Trump, Rais wa zamani Bill Clinton, mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates na watu wengine wenye ushawishi wakiwa pamoja na mfanyabiashara aliyepatikana na hatia ya kufanya biashara haramu ya ngono ya watoto, Jeffrey Epstein.
-
Baraza Kuu la UN lapasisha azimio la kuitaka Israel iondoe vizuizi vya msaada Gaza
Dec 12, 2025 23:19Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio linaloitaka Israel kuruhusu kutolewa kwa huduma za kibinadamu pasi na vikwazo na vizingiti katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini EU imejikita katika kuwafukuza wakimbizi badala ya kutatua mgogoro wa uhamiaji?
Dec 12, 2025 23:01Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) zimeidhinisha rasimu ya "Kanuni ya kuanzisha mfumo wa pamoja wa kuwarejesha raia wa nchi ya tatu wasio na vibali halali vya ukaazi.
-
Upinzani mkubwa wa UN dhidi ya kubadilishwa mipaka ya Gaza
Dec 12, 2025 08:55Umoja wa Mataifa umetangaza upinzani wake mkubwa dhidi ya kufanyika mabadiliko ya aina yoyote ya mipaka ya Gaza na utawala wa Israel.
-
Putin atangaza kumuunga mkono Maduro licha ya US kushadidisha vitisho dhidi ya Venezuela
Dec 12, 2025 06:41Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, anamuunga mkono Rais wa Venezuela Nicolas Maduro wakati huu ambapo Marekani imejizatiti kijeshi katika eneo la Carribean huku ikishadidisha vitisho dhidi ya Venezuela.
-
UN yasema Marekani inapaswa kuondoa vikwazo dhidi ya wanadiplomasia wa Iran
Dec 12, 2025 03:29Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa Marekani inalazimika kuwawezesha wanadiplomasia wa Iran walioidhinishwa kutekeleza majukumu yao bila vizuizi, ukikumbusha msimamo wa taasisi hiyo kwamba Washington, kama nchi mwenyeji, ina wajibu wa kuruhusu harakati zisizo na mipaka kwa maafisa wote wa kidiplomasia walioko katika makao makuu ya UN.
-
Khan: Uingereza ilitishia kukata ufadhili wa ICC kutokana na waranti wa kukamatwa Netanyahu
Dec 12, 2025 03:24Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, amesema serikali ya Uingereza ilitishia kuikatia mahakama hiyo ufadhili na kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma uliounda taasisi hiyo, endapo jopo la majaji lingeendelea na mpango wa kutoa waranti wa kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
-
Iran yakosoa kupunguzwa misaada ya kimataifa kwa wakimbizi wa Afghanistan
Dec 11, 2025 23:08Iran imeikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kutimiza hata ahadi za kimsingi za kuwasaidia mamilioni ya wakimbizi wa Kiaghani; ikisema kuwa kupunguzwa misaada kumeifanya nchi hiyo kubeba mzigo mkubwa wa kifedha licha ya indhari za miaka mingi.
-
Mashtaka ya ICC dhidi ya Trump: Jinamizi kwa Ikulu ya White House?
Dec 11, 2025 23:06Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, ina wasiwasi kuhusu uwezekano wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa kibali cha mashtaka dhidi ya Donald Trump.
-
Marekani yatwaa meli ya mafuta ya Venezuela katika wizi na uharamia wa wazi
Dec 11, 2025 08:03Marekani imeshadidisha ghadhabu za walimwengu baada ya kutwaa meli ya mafuta ya Venezuela katika kile kilichotajwa na serikali ya Caracas kuwa hatua inayoshabihiana na uvamizi wa kijeshi wa Israel ulio kinyume cha sheria. Caracas iimekemea hatua hiyo ikiitaja kuwa ni "uharamia wa kimataifa."