SAUTI: Wakenya wasiokuwa na vitambulisho vya uraia waitisha maandamano makubwa Kenya
Sep 24, 2016 13:52 UTC
Hatma ya kusajiliwa kwa jamii zisizokuwa na uraia wa taifa la Kenya bado haijafahamika kutokana na kukamilika kwa muda wa usajili wa jamii hizo.
Awali serikali ya Kenya iliamuru kubuniwa jopokazi ili kufuatilia swala hilo, ambapo sasa tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu nchini humo, imeibuka na kulikosoa jopokazi hilo kwa kuzembea usimamizi wa suala hilo.
Tujiunge na mwandishi wetu wa mjini Mombasa Seifuulah Murtadha kwa taarifa kamili………./
Tags