-
Juhudi za BRICS za kutumia sarafu za taifa katika mabadilishano ya kibiashara
Jun 12, 2024 05:38Nchi wanachama wa kundi la BRICS zinafanya jitihada kubwa za kuhakikisha zinakuwa na mfumo maalumu wa mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu za taifa za nchi wanachama.
-
Msimamo wa Makundi ya Mapambano ya Palestina Kuhusu Azimio la UN
Jun 11, 2024 23:24Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa mjibizo kwa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupitisha azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu matukio ya Ghaza kwa kusisitiza kuwa: azimio hilo linahitaji hakikisho la utekelezaji.
-
Sababu na mijibizo ya kujiuzulu wajumbe wawili wa ngazi za juu katika baraza la mawaziri la kivita la Israel
Jun 11, 2024 04:03Benny Gantz na Gadi Eisenkot, wajumbe wawili wa ngazi za juu wa baraza la mawaziri la vita la utawala wa Kizayuni wametangaza rasmi kujitoa kwenye baraza hilo. Hili Tropper ambaye ni mtu wa karibu na Gantz, naye ametangaza rasmi kujitoa kwenye muungano unaounda serikali ya Netanyahu.
-
Jinai ya Nuseirat na kuendelea kukashifika kimaadili Marekani na Wazayuni
Jun 10, 2024 23:02Jinai iliyofanywa na Marekani na Wazayuni kwenye kambi ya wakimbizi Wapalestina ya Nuseirat katika Ukanda wa Ghaza inadhihirisha zaidi, kuliko jambo jengine lolote, kuendelea kukashifika na kuaibika kimaadili Washington na Tel Aviv.
-
Majina ya mwisho ya wagombea uchaguzi wa rais nchini Iran yatangazwa kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa hamasa
Jun 10, 2024 08:51Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza orodha ya majina ya mwisho ya wagombea wa awamu ya 14 ya uchaguzi wa rais ili kutoa fursa ya kufanyika uchaguzi wa hamasa na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi.
-
Sababu za umuhimu wa kikao cha D-8 mjini Istanbul kuhusu vita vya Gaza
Jun 09, 2024 23:54Kikao cha dharura cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Kundi la Nchi za Kiislamu Zinazostawi Kiuchumi D-8 kilifanyika Jumamosi mjini Istanbul kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uturuki, Malaysia, Indonesia, Misri, Nigeria, Pakistan na Bangladesh kwa lengo la kuchukua msimamo wa pamoja dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Wanachama wa BRICS wasisitiza kuundwa sarafu moja ya kidijitali
Jun 09, 2024 06:21Katika Kongamano la 27 la Kimataifa la Kiuchumi la Saint Petersburg nchini Russia, nchi wanachama wa BRICS zimetangaza tena utayari wa kutekeleza kivitendo hatua ya kuunda sarafu moja ya kidijitali.
-
Utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika mkoa wa Sistan na Baluchistan nchini Iran
Jun 08, 2024 22:48Kufunguliwa miradi mbalimbali ya maendeleo katika seka za maji, umeme na gesi katika mkoa wa Sistan na Baluchestan nchini Iran kunaonyesha azma kubwa ya serikali ya hayati Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Shahid Raisi, ya kustawisha maeneo yaliyokuwa yamebaki nyuma kimaendeleo nchini.
-
Sababu za uwezekano wa kutokea vita kati ya utawala wa Kizayuni na Hizbullah ya Lebanon
Jun 08, 2024 01:52Katika hali ambayo utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake ya kijeshi uliyoyatangaza katika vita dhidi ya Gaza, vyanzo vya habari vya Kizayuni vimeonya kuhusu harakati za baraza la mawaziri la utawala huo za kutaka kuingia katika vita vya pande zote na Hizbullah ya Lebanon.
-
Sisitizo jingine la Iran na Azerbaijan la kutekeleza makubaliano ya nchi mbili
Jun 07, 2024 23:02Katika mazungumzo yake ya simu na Kaimu Rais wa Iran, Mohammad Mokhber, sambamba na kutoa salamu za rambirambi kwa taifa la Iran kutokana na kuondokewa na Rais Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Azerbaijan, Ilham Aliyev, ameeleza mshikamano wake na serikali na wananchi wa Iran.