-
Kushadidi jinai za Utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza
Sep 25, 2023 23:21Wanajeshi wa Kizayuni wameushambulia mji wa Tulkarem katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuwaua shahidi vijana wawili wa Kipalestina.
-
Mikutano ya kidiplomasia New York; fursa ya kubainishwa diplomasia ya Iran
Sep 25, 2023 05:46Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanyika vikao na mazungumzo na viongozi wa nchi mbalimbali pambizoni mwa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumeandaa uwanja wa kuimarishwa diplomasia ya Iran ulimwenguni.
-
Pigo kubwa la Wizara ya Intelijensia kwa magaidi; kuzimwa makumi ya milipuko mjini Tehran
Sep 25, 2023 04:38Wizara ya Intelijensia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kupitia taarifa kwamba imefanikiwa kuzima milipuko 30 ya wakati mmoja mjini Tehran na kuwatia mbaroni magaidi 28 waliokuwa wanapanga kuilipua na kusababisha maafa na hasara kubwa nchini.
-
Watoto wa Kipalestina; wahanga wakuu wa siasa za jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Sep 24, 2023 23:14Kanali ya Al-Arabi imeripoti kwamba zaidi ya asilimia 70 ya watoto wa Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na matatizo mengi ya kiafya na kimwili yakiwemo ya upungufu wa damu.
-
Yemen miaka 9 baada ya Septemba 21, 2014; kuanzia vitani hadi kwenye uundaji wa serikali yenye mafanikio ya Ansarullah
Sep 24, 2023 03:18Miaka 9 imepita tangu Septemba 21, 2014 na kufikiwa makubaliano ya Ansarullah na serikali ya Abd Rabbu Mansour Hadi, ambapo hali ya kisiasa ya Yemen imebadilika sana.
-
Indhari ya Borrell kuhusu uwezekano wa kusambaratika Umoja wa Ulaya
Sep 23, 2023 22:50Josep Borrell Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametahadharisha kuwa umoja huo unakabiliwa na mgawanyiko mkubwa kuhusu sera za uhamiaji na kwamba suala hilo linaweza kuufanya Umoja wa Ulaya uvunjike.
-
Umuhimu wa safari ya Bashar al Assad huko China
Sep 23, 2023 08:02Rais Bashar al Assad wa Syria Alhamisi ya juzi tarehe 21 Septemba aliwasili katika mji wa Hangzhou mashariki wa China kwa lengo la kushiriki katika hafla ya ufunguzi wa michezo ya Asia ya Hangzhou na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jin Ping wa nchi hiyo.
-
Madhara ya kuendelea vita baina ya majenerali wa kijeshi nchini Sudan
Sep 23, 2023 02:54Licha ya kupita miezi mingi, lakini ndio kwanza vita baina ya majenerali wa kijeshi vinaendelea nchini Sudan na hali ya kisiasa na kiuchumi ya nchi hiyo inazidi kuwa mbaya siku baada ya siku. Cha kusikitisha ni kuwa pamoja na hali kuwa mbaya kiasi hicho, lakini bado pande hasimu zinaendelea kufanya ukaidi wa kutokubali kusimamisha mapigano.
-
Hatua mpya ya Russia ya kutumia sarafu za kitaifa na kupunguza utegemezi kwa dola ya Marekani
Sep 22, 2023 22:48Serikali ya Russia imeidhinisha orodha ya nchi 31, zikiwemo Iran, Brazil, Venezuela na Cuba, ambazo benki zao zinaweza kushiriki na kufanya biashara katika soko la fedha za kigeni nchini Russia.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Russia nchini Iran na kuimarika uhusiano wa kiulinzi wa nchi mbili
Sep 22, 2023 09:02Waziri wa Ulinzi wa Russia, Sergei Shoigu ameonana na Meja Jenerali Mohammad Baqeri, Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran hapa mjini Tehran.