-
Kuzidi kuharibika uhusiano wa kidiplomasia kati ya India na Canada
Sep 22, 2023 02:31India imemfukuza mwanadiplomasia wa Canada ikilipiza kisasi kwa hatua ya Canada kumfukuza mwanadiplomasia wa nchi hiyo. Hii ina maana kwamba, kiwango cha mvutano wa kisiasa na kidiplomasia katika uhusiano wa India na Canada kimeongezeka.
-
Wapinzani Wazayuni "wala sahani moja" na Netanyahu mjini New York
Sep 21, 2023 23:10Kama ilivyokuwa imetabiriwa tangu zamani, safari ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu ya kushiriki kwenye mkutano wa kila mwaka wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New Yoirk Marekani, imekuwa na vioja vingi.
-
Mitazamo wa Kiongozi Muadhamu; kujihami kutakatifu kumetanua mipaka ya muqawama
Sep 21, 2023 03:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na kuhutubia mjumuiko wa vinara, familia za mashahidi, wasanii, waandishi, wasaidizi, maveterani na wanaharakati wa masuala ya vita vya kujihami kutakatifu (vya baina ya Iran na utawala wa zamani wa Iraq) na kutilia mkazo udharura wa kuendelezwa njia ya muqawama.
-
Sisitizo la kufanyiwa mabadiliko muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 20, 2023 22:53Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesisitiza haja ya kufanyiwa mabadiliko muundo wa umoja huo na kuonya kuwa, huenda kukajitokeza mgawanyiko iwapo jambo hilo halitazingatiwa.
-
Ronaldo; Saudi Arabia na mashabiki wa Iran
Sep 20, 2023 05:36Cristiano Ronaldo, nyota wa soka wa Ureno anayechezea klabu ya An-Nasr ya Saudia Arabia, ambaye alisafiri kuja hapa Tehran kwa ajili ya pambano na timu ya Persepolis ya Iran la mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Asia, amepata makaribisho makubwa ya mashabiki wake.
-
Kushindwa vyombo vya habari vya upinzani kuibua machafuko nchini Iran
Sep 20, 2023 04:52Katika kipindi kisichopungua mwezi mmoja uliopita vyombo vya habari vya aduii vilipanga na kuratibu njama za kuibua ghasia na machafuko nchini Iran; hata hivyo miji mbalimbali ya Iran katika masiku ya karibuni imeshuhudia hali ya amani na utulivu.
-
Mahudhurio ya Rais Raisi katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Sep 19, 2023 08:13Rais sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwa mara pili akiwa kiongozi wa serikali, ameelekea nchini Marekani kuhutubia kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Kukata tamaa Marekani na Nato kuhusu ushindi wa Ukraine katika vita na Russia
Sep 18, 2023 23:00Jenerali Mark Milley, mkuu wa majeshi ya Marekani, amesema ni vigumu kufikia natija ya haraka kuhusu vita vya Ukraine na kwamba muda mrefu zaidi unahitajika kabla ya Ukraine kufikia ushindi huo.
-
Njama za Marekani za kuongeza uwepo wake wa kijeshi nchini Yemen
Sep 18, 2023 08:49Tangu mazungumzo kati ya Yemen na Saudi Arabia kuhitimisha vita yalipochukua mkondo wa azma ya kweli, harakati za kijeshi za Marekani na Uingereza nazo zimeongezeka na kuimarika ili kuimarisha uwepo wao wa kijeshi katika nchi hiyo.
-
Kutiwa saini mkataba mpya wa usalama; Muungano wa kijeshi kati ya Mali, Niger na Burkina Faso
Sep 17, 2023 23:10Baada ya kupita miezi kadhaa ya kushuhudiwa matukio ya kisiasa katika baadhi ya nchi za Kiafrika kama Mali na Burkina Faso na kuundwa serikali za kijeshi katika nchi hizo; hivi sasa nchi tatu yaani Niger, Burkina Faso na Mali zimesaini mkataba wa pamoja wa usalama ulipewa jina la " Muungano wa Nchi za Sahel."