-
Njama za Uingereza za kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake duniani
Aug 25, 2023 04:34Kwa mujibu wa televisheni ya Sky News, serikali ya Uingereza inatumia vizingizio mbalimbali vya kuzuia uchunguzi kuhusu jinai za wanajeshi wake katika nchi nyingi duniani vikiwemo visingizio vya kiusalama.
-
Wanachama wa BRICS wakubaliana kuhusu utaratibu wa kupanua kundi hilo
Aug 24, 2023 22:54Dr. Naledi Pandor, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Afrika Kusini, ametangaza kuwa nchi wanachama wa BRICS zimeafikiana kuhusu misingi muhimu ya kupanuliwa kundi hilo. Wanachama wa sasa wa BRICS ni Russia, China, Brazil, India na Afrika Kusini.
-
Safari ya Raisi mjini Johannesburg; azma ya Iran ya kujiunga na BRICS
Aug 24, 2023 04:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alisema jana Jumatano usiku kabla ya kuondoka mjini Tehran kuelekea Afrika Kusini kwa madhumuni ya kushiriki katika mkutano wa kilele wa Kundi la BRICS kwamba, kundi hilo limeweza kuzileta pamoja nchi huru kwa lengo la ushirikiano wa kiuchumi na kupambana na siasa za upande mmoja.
-
Athari haribifu za kisaikolojia kwa wasichana wanaozuiwa kuendelea na masomo nchini Afghanistan
Aug 23, 2023 23:02Madaktari wa masuala ya akili na saikolojia nchini Afghanistan wametoa tamko la kutisha linaloonesha ongezeko la wagonjwa wa akili hasa kati ya wasichana na uchunguzi wa madaktari hao unaonesha kuwa, kuzuiwa wasichana kuendelea na masomo kunachangia sana hali yao mbaya ya kisaikolojia, kujiona duni na kukata tamaa na msongo wa mawazo nchini humo.
-
Mkutano wa kilele wa BRICS nchini Afrika Kusini
Aug 23, 2023 11:42Mkutano wa siku tatu wa wakuu wa nchi tano za BRICS na uwepo wa makumi ya wakuu wengine wa nchi ulianza huko Johannesburg, Afrika Kusini mnamo Jumanne, Agosti 22, 2023.
-
Faida nono ya sekta ya silaha ya Marekani kutokana na Washington kuzusha mgogoro barani Ulaya
Aug 22, 2023 22:46Katika kipidi cha miezi 18 ya vita nchini Ukraine, moto wa vita hivyo haribifu umezidi kuwaka na kuchukua wigo mpana zaidi kutokana na sera haribifu za nchi za Magharibi, ambazo zimepeleka nchini Ukraine msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na kisilaha ambao haujawahi kushuhudiwa.
-
Tarehe 21 Agosti; Siku ya Kimataifa ya Misikiti.
Aug 22, 2023 09:01Sababu iliyopelekea siku hii kutengwa kama Siku ya Kimataifa ya Misikiti inahusiana na tukio lililotokea miaka 56 iliyopita katika Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa, katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, na ambao ni Kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Iran na Muqawama zilivyoshika mpini wa masuala ya eneo la Asia Magharibi
Aug 21, 2023 23:05Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameashiria uafriti unaofanywa katika kila pembe ya ulimwengu na ubeberu wa dunia ukiongozwa na Marekani na kueleza kwamba, hii leo Marekani inazidi kudidimia na kuyoyoma kuliko ilivyowahi kuwa wakati wowote ule; na leo adui yuko kwenye kilele cha udhaifu.
-
Kubariki Marekani mpango wa kuipelekea Ukraine ndege za kivita aina ya F-16
Aug 21, 2023 05:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ametangaza kuwa Washington imeafiki kupelekewa Ukraine ndege za kivita aina ya F-16 kutoka nchi mbili wanachama wa shirika la kijeshi la NATO, yaani Denmark na Uholanzi, na kwamba hilo litafanyika baada ya kukamilishwa mchakato wa utoaji mafunzo kwa marubani wa Ukraine ya kuzitumia ndege hizo.
-
Safari ya Amirabdollahian nchini Saudi Arabia; Tehran na Riyadh ziko tayari kuwa na uhusiano imara
Aug 21, 2023 01:20Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye karibuni ametembelea Saudi Arabia kwa mwaliko rasmi wa Faisal bin Farhan, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, siku ya Ijumaa alikutana na kuzungumza na Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia mjini Jeddah.