-
Kuendelea kunyongeshwa Waislamu wa Rohingya
Dec 22, 2022 23:14Jeshi la Majini la Sri Lanka limetangaza kuwa, limeokoa Waislamu 104 wa jamii ya Rohingya katika fukwe za kaskazini mwa Bahari ya Hindi wakati walipokuwa wanakimbia mateso nchini kwao Myanmar.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Maandamano makubwa ya Wafaransa ya kupinga sera za NATO na Ulaya katika vita vya Ukraine
Dec 21, 2022 23:38Kutokana na kushamiri hali mbaya ya kiuchumi katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi wengi wa nchi hizo wanapinga sera za Umoja wa Ulaya katika vita vya Ukraine. Hali mbaya ya uhaba wa nishati na wasiwasi unaotokana na msimu wa baridi kali unaokaribia kuanza,
-
Kuendelea chokochoko za Marekani katika Rasi ya Korea
Dec 21, 2022 04:29Harakati za kijeshi za Marekani na Korea Kusini katika Rasi ya Korea zingali zinaendelea, ambapo katika mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya karibuni zaidi kufanywa na Marekani na Korea Kusini kwenye rasi hiyo, ndege za kivita kadhaa za Marekani zikiwemo za mashambulio ya kimkakati za B-52 na za kushambulia kwa kujificha za F-22 zilipaa katika anga ya eneo hilo.
-
Mazungumzo ya Josep Borrell na Amir-Abdollahian nchini Jordan; msimamo baridi wa Umoja wa Ulaya
Dec 20, 2022 22:46Jumanne ya jana tarehe 20 Disemba, Waziri wa Mashauri ya Kiigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya pambizoni mwa mkutano wa Baghdad-2 uliofanyika katika mji mkuu wa Jordan, Amman.
-
Kufikia tamati mashindano ya soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar na engo zake zisizo za kimichezo
Dec 20, 2022 04:09Pazia la mashindano ya soka ya Kombe la Dunia lilifungwa rasmi siku ya Jumapili kwa timu ya taifa ya soka ya Argentina kutwaa kombe hilo baada ya kumshinda bingwa mtetezi Ufaransa.
-
Kufichuliwa nyaraka mpya za jinai za Israel dhidi ya Wapalestina kwa uungaji mkono wa Marekani
Dec 19, 2022 23:03Gazeti la The Guardian limechapisha nyaraka mpya za jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina, jinai ambazo zimefanyika kwa himaya na uungaji mkono wa Marekani.
-
Ushiriki mdogo wa wananchi wa Tunisia katika uchaguzi wa Bunge
Dec 19, 2022 09:17Karibu akthari ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura nchini Tunisia walisusia uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumamosi ya juzi tarehe 17 Disemba.
-
Kubadilika mikakati ya kijeshi ya Japan baada ya Vita vya Pili vya Dunia
Dec 18, 2022 23:10Serikali ya Japan imeanzisha mkakati na stratijia mpya ya kijeshi baada ya Vita vya Pili vya Dunia. Katika mkakati wake huo mpya, Tokyo sasa inaihesabu China kuwa ndiye tishio kubwa la kiistratijia kwa Japan.
-
Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi
Dec 18, 2022 06:13Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.