-
Jibu la Rais wa Iran kwa bwabwaja na njozi za Biden
Nov 05, 2022 07:57Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika marasimu ya kukumbuka tarehe 13 Aban ambayo inaadhimishwa hapa nchini kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani kwamba: Marekani ina nafasi ya kwanza katika vita na umwagaji damu na inaangamiza na kuharibu maslahi ya mataifa mengine ili kujidhaminia maslahi yake. Rais wa Iran ameeleza hayo katika radiamali yake kwa matamshi ya Joe Biden ya kuuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.
-
Ushindi wa mafashisti katika uchaguzi wa Israel unasadifiana na maadhimisho ya miaka 100 ya Azimio la Balfour
Nov 04, 2022 23:10Uchaguzi wa hivi majuzi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel, ambao ulifanyika tarehe 1 Novemba 2022, una sifa zinazoutofautisha na chaguzi zilizopita.
-
Onyo la Russia kuhusu Wamagharibi kutuma magaidi nchini Ukraine
Nov 04, 2022 08:45Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, Nikolay Patrushev, ametangaza kuwa Marekani na Uingereza zinasajili na kuajiri magaidi wa kimataifa kwa ajili ya kushirikiana na jeshi la Ukraine katika vita dhidi ya Russia.
-
China, Russia zapinga mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la UN dhidi ya Iran
Nov 03, 2022 22:52China na Russia zimelaani kuitishwa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Wawakilishi wa China na Russia wamelaani kitendo cha Marekani na Albania cha kufanya mkutano usio rasmi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu eti matukio ya Iran.
-
Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu; Marekani imehusika katika machafuko nchini Iran
Nov 03, 2022 03:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatano siku mbili kabla ya maadhimisho ya tarehe 13 Aban (4 Novemba 1978) ambayo hapa nchini ni Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa, alihutubia kikao cha mamia ya wanafunzi, akiitaja siku hiyo kuwa ni kielelezo cha uovu, ukhabithi na dhihirisho la kupata pigo na kushindwa Marekani.
-
Wanaoiwekea vikwazo Russia sasa ndio wateja wake wakuu: Kushindwa kampeni ya vikwazo vya Magharibi
Nov 03, 2022 00:46Gazeti la Marekani la New York Times limeandika katika ripoti kwamba baadhi ya nchi za Magharibi zinazounga mkono vikwazo dhidi ya Russia zimeongeza uagizaji wa bidhaa na hasa nishati kutoka nchi hiyo tangu Februari mwaka huu.
-
Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne
Nov 02, 2022 04:50Uchaguzi wa tano wa bunge la Israel katika muda wa chini ya miaka minne ulifanyika jana Jumanne tarehe 1 Novemba.
-
Ulazima wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujiunga na mkataba wa NPT
Nov 01, 2022 22:53Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha kwa wingi wa kura muswada wa Misri unaoelezea ulazima wa utawala haramu wa Israel kujiunga na Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Usambazaji wa Silaha za Atomiki (NPT).
-
Ushindi wa Lula da Silva nchini Brazil na kupata nguvu wafuasi wa mrengo wa kushoto Amerika ya Latini
Nov 01, 2022 10:03Hatimaye baada ya vuta nikuvute na ushindani wa kisiasa nchini Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva mgombea wa Chama cha Wafanyakazi (The Workers' Party) ameibuka mshindi baada ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa Rais.
-
Jeshi la Wanamaji la Uingereza limehusika katika hujuma ya kigaidi dhidi ya bomba la gesi la Nord Stream
Oct 31, 2022 22:58Baada ya kuanza vita vya Russia na Ukraine, uhusiano kati ya Russia na madola ya Magharibi umeambatana na kuongezeka kwa mizozo na mivutano, haswa katika sekta ya nishati, kiasi kwamba mtiririko wa gesi kutoka bomba kuu la gesi la Russia kwenda Ulaya linalojulikana kwa jina la "Nord Stream" umesitishwa.