-
Kuundwa serikali ya wote, msimamo wa kiistratijia wa Iran kuhusu Afghanistan
Aug 26, 2022 03:06Mwaka mzima umepita tangu kuingia tena madarakani kundi la Taliban nchini Afghanistan, lakini hadi hizi sasa kundi hilo halijatambuliwa kimataifa kutokana na misimamo yake.
-
Kuongezeka mgogoro wa wakimbizi barani Ulaya
Aug 25, 2022 21:32Licha ya nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza, kuweka sheria kali za kuzuia kuingia wahajiri, lakini idadi ya wahajiri hao imeongezeka bali hata hivi sasa imevunja rekodi ya kuingia nchini Uingereza tena kupitia kanali ile ile ya baharini ya English Channel.
-
Majibu ya Marekani kuhusu JCPOA na kuendelea tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran
Aug 25, 2022 03:36Edward "Ned" Price, msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani alisema jana Jumatano kuwa, Washington imetoa majibu kuhusu mitazamo ya Iran juu ya mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Tehran. Amesema: Uchunguzi wetu kuhusu mitazamo ya Iran umekamilika na leo (Jumatano) tumekabidhi mapendekezo yetu kwa Umoja wa Ulaya.
-
Kuongezeka hujuma za kigaidi barani Afrika
Aug 24, 2022 23:12Kuenea kwa hujuma za kigaidi katika kanda tofauti za bara Afrika, hasa kuongezeka kwa mashambulizi yanayotekelezwa na makundi ya Al-Shabaab huko Somalia na Boko Haram nchini Nigeria, kumepelekea kuibuka wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa ukosefu wa usalama barani Afrika na duniani kote.
-
Kuuawa bintiye Dugin na kupanuka zaidi mgogoro wa Russia na Ukraine
Aug 24, 2022 05:08Rais Vladimir Putin wa Russia ametuma salamu zake za rambirambi kwa wazazi wa Darya Dugina, binti ya Alexander Dugin, mwananadharia mashuhuri wa Russia. Putin ameutaja uhalifu huo kuwa "mbaya na ukatili" na akamuelezea Darya Dugina kama mtu aliyekuwa mwerevu, mwenye talanta na moyo wa kweli wa utaifa wa Russia.
-
Kuanza mgomo wa kula chakula wa wafungwa wa Kipalestina
Aug 23, 2022 23:48Jumatatu ya juzi tarehe 22 Agosti, mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel walianzisha mgomo usio na kikomo wa kula chakula wakilalamikia hatua za kidhalimu na maafisa wa utawala huo katika magereza.
-
Safari ya kwanza ya Amir-Abdollahian barani Afrika; azma ya Iran ya kupanua uhusiano
Aug 23, 2022 04:46Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu ya jana aliondoka hapa mjini Tehran na kuelekea Bamako mji mkuu wa Mali, hii ikiwa ni safarii yake ya kwanza barani Afrika tangu alipoteuliwa kuchukua wadhifa huo.
-
Mgogoro wa kiuchumi barani Ulaya; kushadidi ufakiri wa chakula na fueli Uingereza
Aug 22, 2022 20:52Katika miezi ya hivi karibuni hali ya kiuchumi katika akthari ya mataifa ya bara Ulaya imezidi kuwa mbaya na kuzusha wasiwasi mkubwa miongoni mwa wakazi wa bara hilo.
-
Zaidi ya nusu karne sasa tangu kufanyika jinai ya kuchomwa moto Msikiti wa al-Aqswa
Aug 22, 2022 04:45Jumapili ya jana tarehe 21 Agosti ilisadifiana na kutimia mwaka wa 53 tangu kuchomwa moto Msikiti mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Wiaslamu, jinai ambayo ilifanywa na utawala vamizi wa Israel ambapo walimwengu walibakia kuwa watazamaji tu na kutoonyesha radiamali yoyote kwa kitendo hicho cha kinyama.
-
Kuendelea wizi na uharamia wa Marekani wa kuiba mafuta ya Syria
Aug 21, 2022 23:53Wizi na usafirishaji kimagendo mafuta ya Syria ungali unaendelea kufanywa na wanajeshi wa Marekani na wanamgambo wenye mfungamano nao katika ardhi ya nchi hiyo.