-
Je, ni nani mshindi hasa wa vita vya siku tatu huko Gaza?
Aug 11, 2022 01:53Ikiwa ni katika kueneza siasa zake za kipropaganda, utawala wa Kizayuni wa Israel unaeneza uongo kuwa mara hii harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS haikushirikiana na harakati ya Jihad Islami katika vita vya siku tatu vya hivi karibuni huko Katika Ukanda wa Gaza.
-
Ombi la rais wa Ukraine la kuadhibiwa kwa umati wananchi wa Russia; muendelezo wa siasa za Kizayuni
Aug 10, 2022 21:55Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine ambaye hadi hivi karibuni alikuwa anadai kuwa Rais Vladimir Putin wa Russia ndiye aliyesababisha vita vya Ukraine, hivi sasa ameelekeza mashambulizi yake kwa wananchi wote wa Russia na ametaka adhabu ya umati itolewe dhidi yao.
-
Mwaka mmoja wa utawala wa Taliban nchini Afghanistan
Aug 10, 2022 00:58Mwaka mmoja umepita tangu kundi la Taliban lilipoingia tena madarakani nchini Afghanistan lakini inaonekana kuwa mateso na matatizo ya wananchi yameongezeka kuliko hata wakati nchi hiyo ilipokuwa inakaliwa kwa mabavu na Marekani na NATO katika miaka ya 2001 hadi 2021.
-
Satalaiti ya Khayyam; hatua muhimu katika harakati ya Iran ya kuzitumia anga za mbali
Aug 09, 2022 21:00Waziri wa Habari na Mawasiliano na Teknolojia wa Iran Issa Zarepour ametangaza kuwa satalaiti ya Kiirani ya Khayyam jana Jumanne ilipaa kuelekea anga za mbali umbali wa kilomita 500 kutoka ardhini.
-
Nukta nne muhimu za hotuba ya Ashura ya Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen
Aug 09, 2022 04:37Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amehutubia kwa mnasaba wa maadhimino ya Siku ya Ashura, hotuba ambayo ina ndani yake nukta nne muhimu za kutafakariwa.
-
Taifa la Kenya katika mtihani mwingine wa uchaguzi
Aug 08, 2022 22:14Wananchi wa Kenya Jumanne ya kesho Agosti 9 wanaelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kuwachagua viongozi watakaowawakilisha na kusimamia masuala muhimu ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
-
Siku ya kukumbuka jinai za kivita za Marekani mjini Hiroshima na Nagasaki
Aug 08, 2022 02:07Jumamosi, na ikiwa ni katika kukumbuka miaka 79 ya maafa ya atomiki ya Hiroshima, watu wa Japan waliwakumbuka maelfu ya wahanga wa shambulio hilo la atomiki la Marekani kwenye mji huo na mji mwingine wa Nagasaki.
-
Ripoti ya Amnesty International kuhusu jinai za kivita za serikali ya Ukraine
Aug 08, 2022 01:12Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti mpya na kuilaumu serikali ya Ukraine kwa jinai za kivita ilizofanya dhidi ya raia na watu wasio na hatia wa nchi hiyo.
-
Mapigano baina ya Taliban na ISIS nchini Afghanistan wakati huu wa Muharram
Aug 07, 2022 03:38Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imetangaza kuangamizwa magaidi wanne wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mapigano yaliyotokea kwenye eneo la Karte-Ye-Sakhi mjini Kabul.
-
Jinai ya utawala wa Kizayuni katika kuishambulia Jihad Islami ya Palestina
Aug 07, 2022 01:25Ijumaa alasiri, jeshil la utawala wa kigaidi wa Israel lilitekeleza jinai kubwa dhidi ya Wapalestina kupitia mashambulizi yaliyopewa jina la "Operesheni ya Alfajiri", katika maeneo yanayodhibitiwa na harakati ya Palestina ya Jihad Islami katika Ukanda wa Gaza.