-
Mlipuko wa kigaidi mjini Kabul, malengo na matokeo yake
Aug 06, 2022 06:15Kundi la kigaidi la Daesh au kwa jina jingine ISIS, limekiri kuhusika na mlipuko uliotokea jana Ijumaa huko Kabul, mji mkuu wa Afghanistan, ambao ulipelekea watu 8 kuuawa shahidi na wengine 18 kujeruhiwa.
-
Umoja wa Mataifa walaani Ufaransa kwa kupiga marufuku hijabu ya wanawake wa Kiislamu
Aug 05, 2022 23:20Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa karibuni na Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa Ufaransa imekiuka Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa kwa kumzuia mwanamke mmoja aliyekuwa amevalia hijabu kushiriki kwenye kozi ya elimu ya watu wazima iliyofanyika katika shule moja ya upili nchini humo.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 02:40Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'
-
Waliopanga mapinduzi ya Sudan wakiri, wameshindwa kufikia malengo yao
Aug 04, 2022 20:43Mgogoro wa kisiasa na kutoridhika kwa jamii nchini Sudan kumekuwa na taathira kubwa na pana, kwa kadiri kwamba "Mohamed Hamdan Dagalo", anayejulikana kama Hemetti, Makamu wa Rais wa Baraza la Uongozi la Sudan, amekiri kwamba: "Inasikitisha kuwa hatukuweza kufanya mabadiliko yoyote na sasa hali ya Sudan imekuwa mbaya zaidi."
-
Ukosoaji wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran dhidi ya wanaodai kutetea haki za binadamu
Aug 04, 2022 03:19Hujjatul Islam wal Muslimin Gholamhossein Mohseni-Ejei, Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, amekosoa utendakazi wa wale wanaodai kutetea haki za binadamu na kusema: Wanaodai kutetea haki za binadamu huko Magharibi hawawezi hata kueleza maana ya mwanadamu kwa njia sahihi.
-
Hivi ndivyo Asia Magharibi ilivyotia kasi kuporomoka nguvu na ushawishi wa Marekani
Aug 03, 2022 21:52Ni jambo lisilo na chembe ya shaka kwamba, Asia Magharibi ni eneo la ushawishi wa jadi wa Marekani. Nchi hiyo ya kibeberu imejiimarisha mno kijeshi kenye eneo hili na ina ushawishi katika matukio ya kiusalama ya nchi waitifaki wake za Asia Magharibi.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa UN la kutokea vita vya nyuklia duniani
Aug 03, 2022 03:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuhusu hatari ya kutokea vita vya nyuklia duniani. Alitoa onyo hilo Jumatatu, Agosti 1, 2022 wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kuangaliwa Upya Mkataba wa NPT wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia.
-
Diplomasia ya mitaani badala ya ustaarabu wa kisiasa; kurudi nyuma demokrasia ya Iraq
Aug 02, 2022 22:07Katika siku za hivi karibuni, Iraq kwa mara nyingine tena imeshuhudia matukio ambayo yanachukuliwa na baadhi ya makundi kuwa ni utekelezaji wa "diplomasia ya mitaani" badala ya "ustaarabu wa kisiasa."
-
Kufutwa siku ya mapumziko (maombolezo) ya Ashura katika kalenda rasmi ya Afghanistan
Aug 02, 2022 02:17Kwa mujibu wa ripoti zilizochapishwa, Taliban imeondoa likizo au siku ya maombolezo ya Ashura katika kalenda rasmi ya Afghanistan na badala yake kuweka mahala pake matukio kadhaa yanayohusiana nayo.
-
Kuanza tena wimbi la kamatakamata huko Saudia baada ya safari ya kwanza ya Ulaya ya Muhammed bin Salman tangu mauaji ya Khashoggi
Aug 01, 2022 20:40Kufuatia ziara ya kwanza ya Ulaya ya mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Ugiriki na Ufaransa baada ya mauaji ya Jamal Khashoggi, ambayo imefanyika wiki mbili baada ya ziara ya Rais wa Marekani Joe Biden nchini Saudi Arabia, Shirika la Kudhibiti na Kupambana na Ufisadi la Saudi limetangaza habari ya kutiwa mbaroni maafisa 78 wa serikali kwa tuhuma za ufisadi, kula rushwa, utapeli, kutakatisha fedha na kutumia vibaya madaraka yao.