-
Kuanza tena wimbi la kamatakamata huko Saudia baada ya safari ya kwanza ya Ulaya ya Muhammed bin Salman tangu mauaji ya Khashoggi
Aug 01, 2022 20:40Kufuatia ziara ya kwanza ya Ulaya ya mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Ugiriki na Ufaransa baada ya mauaji ya Jamal Khashoggi, ambayo imefanyika wiki mbili baada ya ziara ya Rais wa Marekani Joe Biden nchini Saudi Arabia, Shirika la Kudhibiti na Kupambana na Ufisadi la Saudi limetangaza habari ya kutiwa mbaroni maafisa 78 wa serikali kwa tuhuma za ufisadi, kula rushwa, utapeli, kutakatisha fedha na kutumia vibaya madaraka yao.
-
Mahakama ya ICC yashindwa kuchunguza uhalifu wa kivita nchini Afghanistan
Aug 01, 2022 12:29Majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) bado wanasitasita kuhusu suala la kuendeleza uchunguzi wa uhalifu wa kivita uliofanyika nchini Afghanistan.
-
Onyo la moja kwa moja la Rais wa China kwa mwenzake wa Marekani
Jul 31, 2022 21:46Katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani, Rais Xi Jinping wa China amemuonya kuwa Marekani haipaswi kuchezea moto kwa kujaribu kusambaratisha mfumo wa China Moja kuhusu kisiwa cha Taiwan.
-
Safari ya Mohammed bin Salman nchini Ufaransa; haki za binadamu zilizosahaulika
Jul 31, 2022 00:34Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman aliwasili mjini Paris siku ya Alhamisi Julai 28, na kukaribishwa vizuri na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.
-
Mgogoro Iraq; Bunge lavamiwa huku nara zikipigwa dhidi ya Waziri Mkuu aliyependekezwa
Jul 30, 2022 23:01Mamia ya wananchi wa Iraq tarehe 27 mwezi huu wa Julai waliandamana katika Eneo la Kijani katika mji mkuu Baghdad na kisha wakavamia Bunge na kupiga nara na shaari dhidi ya mwanasiasa aliyependekezwa kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu.
-
Kuendelea ushirikiano wa kiuchumi wa kundi la D-8 katika kikao cha Dhaka
Jul 30, 2022 06:21Duru nyingne ya mkutano wa kundi la nchi nane za Kiislamu zilizostawi kiuchumi yaani D-8 imefanyika huku Bangladesh ikiwa mwenyeji wa mkutano huo.
-
Kuwasilisha mashtaka Iraq dhidi ya Uturuki UN na kuongezeka hisia za chuki dhidi ya Ankara ndani ya Iraq
Jul 29, 2022 23:10Baada ya Iraq kuwasilisha mashtaka rasmi Umoja wa Mataifa dhidi ya Uturuki, Baraza la Usalama la umoja huo limeitisha kikao cha dharura, ambapo mbali na kulaani shambulio la mizinga lililolenga mkoa wa Duhok, limetangaza uungaji mkono wake pia kwa umoja wa ardhi yote, uhuru na mamlaka ya kujitawala ya Iraq.
-
Kazi kubwa iliyofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya kubatilisha fikra kuu ya Magharibi ya kutenganisha Dini na Siasa
Jul 29, 2022 06:05Siku ya Jumatano ya tarehe 27 Julai, ambayo ilisadifiana na maadhimisho ya kusaliwa Sala ya kwanza ya Ijumaa kote nchini Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Maimamu wa Sala Ijumaa kutoka kila pembe ya nchi walikwenda kuonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Husainiya ya Imam Khomeini (MA).
-
Hatua za Iran na nchi za Kiarabu za eneo zenye lengo la kuboresha uhusiano
Jul 28, 2022 21:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejadiliana na mawaziri wenzake wa Kuwait, Imarati, Oman na Qatar kuhusu uhusiano wa pande mbili na wa kieneo.
-
Safari ya Macron barani Afrika; juhudi za kueneza ushawishi
Jul 28, 2022 02:55Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko barani Afrika katika safari yake ya kwanza ya kikazi baada ya kuanza muhula wake wa pili kama rais wa nchi hiyo.