-
Ushiriki mdogo wa Watunisia katika kura ya maoni ya marekebisho ya katiba
Jul 27, 2022 21:53Hatimaye baada ya malumbano mengi, kura ya maoni ya marekebisho ya katiba ya Tunisia ilifanyika siku chche zilizopita licha ya kususiwa na kambi ya upinzani na mashirika mengi ya kiraia.
-
Nukta nne za kistratijia katika matamshi ya Sayyid Nasrullah kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 40 ya Hizbullah
Jul 27, 2022 07:44Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, juzi usiku (tarehe 25 Julai) alizungumza na televisheni ya al-Mayadeen kwa mnasaba wa mwaka wa 40 wa kuasisiwa Hizbullah, ambapo nukta kadhaa za kistratijia zilijadiliwa.
-
Kanisa Katoliki laomba msamaha kuhusu mauaji ya Kimbari ya Wacanada asilia
Jul 27, 2022 01:44Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Canada na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
-
Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya
Jul 26, 2022 02:03Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.
-
Kuanza tena safari za Bin Salman katika nchi za Magharibi baada ya kusimama kwa miaka 4
Jul 26, 2022 00:12Mohammed bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatazamiwa kuondoka nchini humo leo Jumanne kwa ajili ya kufanya safari katika nchi za Ugiriki na Cyprus.
-
China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington
Jul 25, 2022 07:01Ziara iliyopangwa kufanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani na misaada ya silaha Washington kwa Taiwan vimezidisha hali ya wasiwasi katika Bahari ya China.
-
Kura ya maoni ya katiba ya Tunisia katika kivuli cha maandamano ya wananchi
Jul 24, 2022 21:58Wakati Tunisia ikiitisha zoezi la kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba mpya, maandamano ya wananchi yanayoendelea nchini humo yamegeuka na kuwa ghasia na machafuko baada ya jeshi kuingilia kati.
-
Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi
Jul 24, 2022 03:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.
-
Kwa nini jamii ya kimataifa haitaki kuitambua rasmi serikali ya Taliban?
Jul 23, 2022 21:54Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Afghanistan anasema: Hivi sasa, jamii ya kimataifa inaafikiana katika suala la kutoitambua rasmi serikali ya Taliban.
-
Kusainiwa mkataba wa mauzo ya nafaka kutoka Ukraine, mwanzo wa kutatua mgogoro wa chakula duniani
Jul 23, 2022 06:42Jana Ijumaa, Ukraine, Uturuki na Umoja wa Mataifa zilitia saini makubaliano ya kutatua mgogoro wa nafaka duniani. Mkataba huo ulitiwa saini kati ya Oleksandr Kubrakov, Waziri wa Miundombinu wa Ukraine, Kholusi Akar Waziri wa Ulinzi wa Uturuki, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na Waziri wa Ulinzi wa Russia Sergei Shoigu.