-
Kuanza safari ya Rais wa Uturuki mjini Tehran
Jul 17, 2022 21:57Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki Recep ataswasili hapa mjini Tehran leo Jumatatu jioni (Julai 18) akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa maafisa wa kisiasa na kiuchumi wa nchi yake ikiwa ni katika kujibu mwaliko rasmi wa Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Biden imefanyika kwa lengo la kuchochea mivutano na kuvuruga amani katika eneo hilo
Jul 17, 2022 05:33Wazayuni walimtandazia zulia jekundu Rais Joe Biden wa Marekani katika safari yake ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, wakitarajia kwamba wangeweza kumnasa katika mtego ule ule waliotumia kumnasa Donald Trump ambaye kutokana na hila za Benjamin Netanyahu, aliyatumbukiza mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika matatizo ya hivi sasa.
-
Kuendelea mpambano wa Magharibi mkabala wa Russia; mara hii vikwazo vya dhahabu
Jul 16, 2022 23:25Nchi za Magharibi zinaendelea kustafidi na wenzo wa mashinikizo kwa Russia kupitia njia mbalimbali kama kuiwekea nchi hiyo vifurushi vya vikwazo vipya kufuatia hatua yake ya kuanzisha vita dhidi ya Ukraine; ambapo Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa uuzaji nje wa dhahabu kutoka Russia utajumuishwa katika kalibu ya vikwazo vipya vya umoja huo.
-
Kukataa India ombi la Marekani
Jul 16, 2022 04:04India imekataa ombi la Marekani ambayo iliitaka nchi hiyo iziwekee vikwazo meli za Russia.
-
Shukurani za Gavana wa jimbo la Herat kwa misaada ya Iran kwa watu wa Afghanistan
Jul 15, 2022 22:12Gavana wa jimbo la Herat ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa misaada yake kwa watu wa Afghanistan.
-
Vita vya Siku 33; mabadiliko muhimu na makubwa kwa Muqawama katika muundo wa kisiasa na kiusalama Asia Magharibi
Jul 15, 2022 04:19Miaka 16 imepita tangu vilipopiganwa vita vya mwaka 2006 vilivyoanzishwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Indhari ya Raisi kwa Marekani sambamba na safari ya Biden Asia Magharibi
Jul 14, 2022 22:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa, Iran haiataachana na misimamo yake ya haki na ya kimantiki na hakuna aliye na haki ya kutumia lugha ya mabavu mkabala wa taifa la Iran.
-
Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) katika siasa za kigeni za serikali ya Biden
Jul 14, 2022 03:55Rais Joe Biden wa Marekani aliwasili Jumatano katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel ikiwa ni sehemu ya kwanza ya safari yake katika eneo la Asia Magharibi ambapo anatazamiwa pia kuitembelea Saudi Arabia hivi karibuni.
-
Kusimamishwa usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ulaya
Jul 13, 2022 22:48Usafirishaji wa gesi ya Russia kwenda Ujerumani kupitia bomba la "Nord Stream 1" katika Bahari ya Baltic, ulisimamishwa Jumatatu kwa muda wa siku 10.
-
Mauaji ya Srebrenica ni aibu kwa madola ya Magharibi
Jul 13, 2022 02:14Katika maadhimisho ya miaka 27 ya mauaji ya halaiki ya Srebrenica, makumi ya maelfu ya watu walitembea kilomita mia moja hadi Srebrenica kuwakumbuka wahasiriwa wa moja ya mauaji makubwa zaidi ya kimbari barani Ulaya.