-
Sababu za umuhimu wa safari ya Biden kwa Saudi Arabia
Jul 12, 2022 21:52Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kuanza safari yake Asia Magharibi leo Julai 13 na safari hiyo inatazamiwa kumalizikia Saudia mnamo Julai 16.
-
Ushindi wa chama tawala cha Liberal Democratic Party of Japan katika uchaguzi wa Seneti
Jul 12, 2022 05:36Chama tawala nchini Japan cha Liberal Democratic (LDP) na washirika wake wa muungano wa Chama cha Komeito waliimarisha udhibiti wao katikia Baraza la Juu la Bunge la nchi hiyo kwa kushinda zaidi ya viti 75 kati ya viti 125 vya taasisi hiyo.
-
Jaribio la Biden kuhalalisha safari yake ya Saudi Arabia
Jul 11, 2022 20:55Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Washington Post kwamba katika kipindi cha miezi 18 ya uongozi wake, eneo la Asia Magharibi limekuwa shwari na salama zaidi kuliko hapo awali. Biden ameyasema hayo katika jitihada zake za kujaribu kuhalalisha safari yake tarajiwa nchini Saud Arabia.
-
Kusalimu amri utawala wa Kizayuni mbele ya upinzani wa wananchi wa Eritrea
Jul 11, 2022 03:45Waziri Mkuu wa muda wa utawala haramu wa Israeli, Yair Lapid, ametoa amri ya kufungwa kwa ubalozi wa utawala huo nchini Eritrea baada ya viongozi wa nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika kukataa kumpokea balozi mpya wa utawala huo haramu kwa miaka miwili sasa.
-
Tahadhari kuhusu uwezekano wa kusambaratika usitishaji vita nchini Yemen
Jul 10, 2022 22:04Mahdi al-Mashat, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuanzishwa tena operesheni za kijeshi, akiashiria ukiukaji vita wa mara kwa mara unaofanywa na muungano wa kijeshi wa Saudia.
-
Safari ya kwanza ya Bashar Assad mjini Aleppo (Halab)
Jul 10, 2022 02:40Rais Bashar al-Assad wa Syria aliutembele mji wa Aleppo (Halab) siku ya Ijumaa na sambamba na kushiriki katika swala ya Eid al-Adha, alizindua miradi kadhaa ya kiuchumi na maendeleo katika mji huo.
-
Kuuawa kigaidi Shinzo Abe; mwisho wa 'Tina' wa Japan
Jul 09, 2022 06:40Shinzo Aben, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan alifariki dunia Ijumaa asubuhi baada ya kupigwa risasi mbili katika tukio la ugaidi.
-
Kukwama Ulaya na Marekani katika kinamasi huko Ukraine
Jul 09, 2022 05:01Vikwazo ambavyo vililenga kumpigisha magoti Rais Vladimir Putin wa Russia na kuilazimisha nchi hiyo isitishe vita dhidi ya Ukraine vimepelekea kuongezeka bei ya nishati ya gesi kwa asilimia 700 barani Ulaya, na kuibua tetesi juu ya uwezekano wa kupanda bei ya pipa la mafuta hadi dola 380 huku masoko ya fedha nchini Marekani yakiwa yamepungua kwa asilimia 30.
-
Kukosolewa safari ya Joe Biden Saudi Arabia na katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
Jul 08, 2022 21:47Mbali na kuwa safari ya Rais Joe Biden wa Marekani huko Saudi Arabia na vilevile katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel imekosolewa sana lakini kile kinachodhihirika zaidi katika ukosoaji huo ni kuwa kufanyika safari hiyo sambaba na siku za kutekelezwa ibada tukufu ya Hija ni jambo ambalo haliwezi kuwa limefanyika hivi hivi bali limepangwa kufikia malengo maalumu.
-
Mgogoro wa madaraka nchini Uingereza; Boris Johnson ajiuzulu
Jul 08, 2022 04:17Boris Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama kiongozi wa chama tawala cha Wahafidhina.