-
Jibu la Pakistan kwa msimamo wa India kwamba Kashmir itaendelea kuwa sehemu ya ardhi yake
May 23, 2022 20:50Mwakilishi wa Pakistan katika Umoja wa Mataifa amepinga msimamo uliotangazwa na India kwamba eneo la Kashmir halitatenganishwa na ardhi ya nchi hiyo na akasisitiza kwa mara nyingine tena kuwa, Jamu na Kashmir haijawahi na wala katu haitakuwa sehemu ya India; na New Delhi haina haki yoyote katika eneo hilo.
-
Iran; mhanga na mlengwa wa kila mara wa ugaidi
May 23, 2022 06:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa hakikisho kuwa, damu ya Shahidi Hassan Sayyad Khodaei italipiziwa kisasi na akasisitiza kwamba, hakuna shaka mkono wa Uistikbari wa dunia unaonekana katika mauaji hayo.
-
Iran ni miongoni mwa nchi 10 duniani zinazotengeneza na kurusha satelaiti katika anga za mbali
May 22, 2022 23:15Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Issa Zarepour amesema, Iran ni miongoni mwa nchi 10 duniani zinazotengeneza na kurusha satelaiti katika anga za mbali na kusisitiza kuwa sekta hiyo inailetea Iran nguvu na teknolojia mpya.
-
Maandamano ya kupinga safari ya Biden Korea Kusini
May 22, 2022 12:33Wanachama wa baadhi ya vyama na mashirika ya kiraia wamekusanyika mjini Seoul kupinga ziara ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini Korea Kusini.
-
Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Macron, marekebisho yanayolenga kutafuta kukubalika na umma
May 21, 2022 22:27Mwezi mmoja baada ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa Emmanuel Macron Rais wa nchi hiyo akiwa na lengo la kutafuta uungaji mkono na kuwaridhisha wapigakura na hivyo serikalii yake iungwe mkono zaidi, amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.
-
Mwaka mmoja baada ya Vita vya Seif al-Quds
May 21, 2022 05:58Mwaka mmoja umepita tangu kutokea Vita vya Seif al-Quds. Licha ya kupita mwaka mmoja tangu kumalizika vita hivyo, lakini natija ya vita hivyo haijaishia katika siku 12 tu za vita hivyo.
-
Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani
May 20, 2022 22:44"Dunia nzima imeathirika na uhaba wa chakula." Hayo yalisemwa siku ya Alhamisi na Majid Takht-e Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa.
-
Tathmini ya uchaguzi wa Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
May 20, 2022 04:38Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, juzi usiku alitoa hutuba akibainisha tathmini yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa hivi karibu wa bunge la nchi hiyo.
-
Wahindu wenye misimamo mikali wateketeza moto msikiti India
May 19, 2022 20:50Wahindu wenye misimamo mikali nchini India wameteteketeza moto msikiti kati mwa nchi hiyo.
-
Sisitizo la Ripota Maalumu wa UN kuwa vikwazo ni kinyume cha sheria; kashfa nyingine kwa Marekani
May 19, 2022 06:00Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema vikwazo dhidi ya Iran ni ukiukaji wa haki za binadamu na kuitaka serikali ya Marekani iondoe vikwazo vyote dhidi ya watu wa Iran katika sekta za chakula, dawa maji na afya.