Uchambuzi
  • Ukosoaji wa Iran kwa namna Magharibi inavyolitumia kisiasa suala la haki za binadamu

    Ukosoaji wa Iran kwa namna Magharibi inavyolitumia kisiasa suala la haki za binadamu

    Apr 07, 2025 03:40

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi yake na kueleza kwamba kulitumia kisiasa suala la haki za binadamu ni sababu muhimu ya kupoteza imani kwa taasisi hiyo na imesisitiza kuwa, nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ghaza hazina ustahiki wa kutoa madai ya kutetea haki za binadamu.

  • Kusimama imara muqawama wa Yemen kumeleta mabadiliko yapi Asia Magharibi?

    Kusimama imara muqawama wa Yemen kumeleta mabadiliko yapi Asia Magharibi?

    Apr 06, 2025 23:14

    Vikosi vya ulinzi vya Yemen vinaendelea kutekeleza oparesheni katika Bahari Nyekundu na katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel); na hatua za muqawama wa Yemen zimekuwa na taathira kwa matukio ya kanda hiyo ya Magharibi mwa Asia.

  • Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika

    Nia ya Russia ya kuzidisha uwepo wake barani Afrika

    Apr 06, 2025 04:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov ametangaza utayarifu wa nchi yake kutoa msaada wa pande zote kwa Muungano wa Nchi za Sahel barani Afrika katika nyanja za ulinzi, usalama na uchumi.

  • Kwa nini ni muhimu Ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo mmoja dhidi ya utawala wa Kizayuni?

    Kwa nini ni muhimu Ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo mmoja dhidi ya utawala wa Kizayuni?

    Apr 05, 2025 22:49

    Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu wa Kiislamu kuzingatia hali ya Ghaza, Ali Akbar Velayati, Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Mwamko wa Kiislamu ametoa taarifa ya kulaani hujuma za kinyama za utawala vamizi wa Kizayuni dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza na wa kusini mwa Lebanon.

  • Safari ya Netanyahu nchini Hungary na kupuuzwa agizo la ICC la kumkamata mhalifu huyo

    Safari ya Netanyahu nchini Hungary na kupuuzwa agizo la ICC la kumkamata mhalifu huyo

    Apr 05, 2025 05:34

    Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC. Tangazo hilo limetolewa saa chache baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kuwasili mjini Budapest.

  • Kupinga Uyahudi: Kisingizio cha Trump kwa ajili ya kuweka mashinikizo kwa vyuo vikuu

    Kupinga Uyahudi: Kisingizio cha Trump kwa ajili ya kuweka mashinikizo kwa vyuo vikuu

    Apr 04, 2025 23:44

    Maafisa wa serikali ya Marekani wametangaza kuwa utawala wa Donald Trump utaangalia upya bajeti ya dola bilioni 9 ya Chuo Kikuu cha Harvard kufuatia madai ya chuki dhidi ya Wayahudi kwenye chuo hicho.

  • Kuwa tayari Iran kuimarisha ushirikiano na nchi za eneo

    Kuwa tayari Iran kuimarisha ushirikiano na nchi za eneo

    Apr 04, 2025 06:57

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na wakuu wa baadhi ya nchi za eneo na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na ushirikiano na nchi hizo katika nyanja mbalimbali kwa mujibu wa imani na itikadi za Kiislamu.

  • Kwa nini mashambulizi ya Marekani dhidi ya Wayemen hayana athari?

    Kwa nini mashambulizi ya Marekani dhidi ya Wayemen hayana athari?

    Apr 03, 2025 23:05

    Kanali ya 12 ya Televisheni ya Utawala wa Kizayuni imekiri kuwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya Yemen hayajazaa matunda. Licha ya mashambulizi hayo kuongezeka, hayakuweza kuzuia mashambulizi ya makombora yanayoelekezwa Israel.

  • Onyo Kali la Iran kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Onyo Kali la Iran kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Apr 03, 2025 09:08

    Katika mazingira ya kuongezeka kwa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni, na vitisho vya mara kwa mara kutoka kwa Donald Trump na maafisa waandamizi wa usalama wa utawala wake huko Washington kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran iwapo kutakosekana makubaliano kuhusu suala la nyuklia, Tehran imetoa onyo kali kwa Marekani na Israel kuhusu madhara makubwa ya hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran.