-
Hamas: Kitendo cha utawala wa Kizayuni kukataa kukabidhi miili ya mashahidi wa Kipalestina kinaonyesha ukatili
Aug 27, 2025 09:19Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeashiria kuwa, utawala ghasibu wa Israel umekataa kukabidhi maiti 726 za mashahidi wa Kipalestina na kukitaja kitendo hicho kuwa jinai na ukatili wa kutisha wa adui Mzayuni.
-
Sisitizo la Malaysia juu ya uungaji mkono endelevu kwa Palestina
Aug 27, 2025 09:17Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Malaysia amesema kuwa, nchi hiyo itadhibiti na kusimamia vilivyo vitisho au ugaidi wowote unaohusiana na suala la uungaji mkono wa Kuala Lumpur kwa Palestina na kuwa itadumisha misimamo ya kuwaunga mkono Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Abbas Araghchi: Wakaguzi wa IAEA wanaingia nchini kwa uamuzi wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
Aug 27, 2025 09:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuingia nchini kwa wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ni uamuzi uliochukuliwa na Baraza Kuu la Usalama wa Taifa kwa ajili ya kuchunguza suala la kubadilishwa mafuta ya kiwanda cha kuzalisha umeme cha Bushehr. Amesema hakuna maafikiano yoyote yaliyofikiwa kuhusu ushirikiano mpya wa Iran na wakala huo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel akiri kutengwa utawala huo kisiasa
Aug 27, 2025 09:12Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kutengwa na kuzingirwa kisiasa utawala huo katika ngazi za kimataifa.
-
Kukanusha kukaribia kusainiwa makubaliano ya usalama kati ya serikali ya mpito ya Syria na utawala wa Israel
Aug 24, 2025 08:29Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya serikali ya mpito ya Syria siku ya Jumamosi ilikanusha habari iliyochapishwa kuhusu kukaribia kusainiwa kwa makubaliano ya usalama kati ya Damascus na utawala wa Kizayuni.
-
Afisa mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon: Muqawama hauwezi kusalimu amri
Aug 24, 2025 08:26Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah huku akisisitiza kuwa, uamuzi wa serikali ya Lebanon wa kuupokonya silaha muqawama ni uamuzi usio wa kisheria wala halali amesema: Muqawama ni utamaduni na utambulisho usioweza kutokomezwa.
-
Pongezi za Kamati za Muqawama wa Palestina/Yemen yafanyia majaribio kombora jipya dhidi ya Israel
Aug 24, 2025 08:23Katika shambulio lake la Ijumaa usiku Yemen ilifanyia majaribio kwa mafanikio kombora jipya dhidi ya adui Mzayuni, jambo ambalo lilizifurahisha sana kamati za muqawama wa Palestina na kuzifanya ziwashukuru watu wa Yemen kwa mafanikio hayo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri: Mpango wa nyuklia wa Iran hauna suluhisho la kijeshi
Aug 21, 2025 04:40Katika mazungumzo yake ya simu na Steve Wittkoff, Mjumbe wa Rais wa Marekani katika Masuala ya Asia Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kupunguzwa mivutano katika eneo hili na kusema kuwa, mpango wa nyuklia wa Iran hauna suluhisho la kijeshi.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kombora jipya la Iran litatumika kukabiliana na chokochoko mpya za adui
Aug 21, 2025 04:25Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, Waziri wa Ulinzi na Msaada kwa Vikosi vya Wanajeshi wa Iran akizungumzia kudhibitiwa vyombo vya habari na utawala wa Kizayuni wakati wa vita vya siku 12 ambapo havikuruhusiwa kuonyesha namna makombora ya Iran yalivyofanya uharibifu mkubwa dhidi ya maslahi ya utawala huo amesema: 'Tuna makombora yenye uwezo mkubwa na bora zaidi kuliko hapo awali, ambayo yatatumika kukabiliana na uwezekano wa chokochoko mpya za adui.'
-
Hamas: Chaguo la muqawama litaendelea kuwepo madamu uvamizi utaendelea
Aug 21, 2025 04:24Mshauri wa Vyombo vya Habari wa Mkuu wa Ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza kuwa harakati hii itakabiliana vikali na hali zote zinazowezekana, ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa mpango wa utawala haramu wa Israel wa kukalia kwa mabavu Ukanda wa Gaza.