-
Maajabu ya kandanda hayana mwisho, huwezi kuamini...
Jun 29, 2016 03:24Kandanda yaani soka ina maajabu mengi; ona maajabu yake katika penati, huwezi kuamini kama ni kweli hadi ujionee mwenyewe kwenye video hii....
-
Maisha ni matamu hata kwa wanyama
Jun 28, 2016 04:26Kila kiumbe kinapenda maisha yake. Mbuni huyu wa huko kusini mwa California nchini Marekani aliamua kutimua mbio kuokoa maisha yake baada ya kuona msitu anaoishi unateketea kwa moto.
-
Kisomo cha Qur'ani, Mash'had, Iran
Jun 28, 2016 04:21"Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi." Kisomo cha Qur'ani tukufu katika Haram ya Imam Ridha AS, mjini Mash'had Iran. Kila siku inahitimishwa juzuu moja ya Qur'ani.
-
Ramadhani, mwezi wa Qur'ani
Jun 28, 2016 04:03Wanajeshi wanamaji wa Iran, wanaadhimisha nyakati za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa ibada mbalimbali. Hizi ni baadhi ya picha za jalsa ya kusoma Qur'ani iliyohudhuriwa na Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Admeli Habibullah Sayyari.
-
Wakati Rais wa nchi anapokula futari katika mstari wa mbele vitani
Jun 28, 2016 03:49Rais Bashar al Assad wa Syria hivi karibuni alikagua vikosi vya mstari wa mbele vya jeshi la nchi yake vinavyopambana na magaidi nje ya mji mkuu Damascus na kula futari nao. Hizi hapa baadhi ya picha hizo
-
Basi la shule
Jun 28, 2016 01:51Duniani kuna maajabu, hili ni moja ya maajabu hayo...
-
Subhanallah! Mtu anavyojitahidi kumwokoa papa baharini
Jun 28, 2016 01:47Kipande hiki cha video kimeenea katika mitandao ya kijamii kikimuonesha mtu akijaribu kadiri awezavyo kumuokoa papa "aliyepwewa" baharini. Ajabu ni kuwa kadiri papa alivyokuwa anarudishwa baharini, alikuwa ndio kwanza anarejea nchi kavu...
-
Yaliyomsibu mvuvi
Jun 28, 2016 01:43Yaliyomsibu mvuvi aliyetaka kuvua samaki mkubwa kwa hali yoyote ile. Pamoja na tabu na madhara na mashaka, hatimaye...
-
Unyanyasaji wa Wazayuni na mateso ya Wapalestina
Jun 25, 2016 07:03Ijumaa ya wiki hii ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Tumekuwekea kipande hiki cha video kinachoonesha namna wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanavyowatesa Wapalestina katika ardhi yao wenyewe...
-
Vipaka vidogo vinapojigeuza sungura
Jun 25, 2016 06:52Uigizaji hauishii tu kwa wanadamu wenye akili zao, bali hata kwa wanyama wasio na akili. Ona vipaka hivi vidogo vinavyowaigiza sungura kwa kutembea kwa kurukaruka.