-
Iran Yazindua kituo kikubwa cha chini ya ardhi cha makombora Ghuba ya Uajemi + VIDEO
Jan 08, 2021 08:28Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limezindua kituo kikubwa na cha kistratijia cha makombora chini ya ardhi katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran imepata mafanikio ya kipekee katika uzalishaji droni + Video
Jan 05, 2021 09:01Kamanda wa kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikosi hicho kimepata mafanikio makubwa na ya kipekee katika uzalishaji na utumiaji wa droni yaani ndege zisizo na rubani.
-
SAUTI: Warsha ya kumbukumbu ya mauaji ya kigaidi ya Shahidi Suleimani yafanyika Tanzania
Jan 04, 2021 13:33Kitendo cha Wamerekani kumuua Hajj Qasim Suleiman ni cha kigaidi, ijapokuwa kilifanywa na wanajeshi halali wa Marekani kwa amri ya rais wa nchi hiyo anayeondoka Donald Trump.
-
Mkasa wa ajali ya treni ya abiria Dodoma Tanzania +SAUTI
Jan 03, 2021 12:22Treni iliyokuwa na abiria wapatao mia saba iliyokuwa safarini kutoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Kigoma nchini Tanzania imepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma, na kusababisha vifo vya watu watatu na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
Raisi: Chanjo ya corona ya Iran hadi sasa haijaonesha athari yoyote hasi + Video
Dec 30, 2020 12:25Naibu Waziri wa Afya na Mafunzo ya Tiba wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa hakuna athari zozote hasi zilizooneshwa na watu waliofanyiwa majaribio hayo, licha ya kupita zaidi ya masaa 24 ya tangu kudungwa chanjo hiyo.
-
Rwanda kutotoa kibali kwa Chuo Kikuu au taasisi ya elimu isiyomiliki majengo +SAUTI
Dec 24, 2020 11:56Serikali ya Rwanda imesema kwamba hakuna atakayeruhusiwa tena kufungua chuo kikuu au taasisi huria ya masomo ya juu katika majengo ya kupanga.
-
Zanganeh: Iran inafanya juhudi za kuuza mafuta katika soko la kimataifa
Dec 22, 2020 04:04Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran inafanya jitihada za kuuza mafuta katika soko lal kimataifa licha ya kuendelea vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya nchi hii.
-
Vipimo vya COVID-19 kupatikana kwa wingi na rahisi nchini Rwanda + Sauti
Dec 18, 2020 09:55Serikali ya Rwanda imeziruhusu zahanati zote binafsi nchini humo kupima maambukizo ya kirusi cha corona tena kwa kutumia vifaa vya kisasa zaidi vinavyotoa majibu chini ya dakika 15. Rwanda inasema inafanya hivyo kukabiliana na kasi ya ongezeko zaidi la wagonjwa wa COVID-19 nchini humo. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.
-
Dua maalumu yafanyika kuiombea amani Zanzibar baada ya kuundwa serikali ya Umoja wa Kitaifa +SAUTI
Dec 11, 2020 11:08Baada ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, kumefanyika dua maalumu ya kuviombea amani visiwa hivyo. Akizungumza katika hafla hiyo, Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi amesema wanasiasa wana dhima mbele ya Mwenye Mungu.
-
Watetezi wa haki za binadamu Uganda walalamikia kimya cha serikali kwa ukandamizaji wa vikosi vya usalama +SAUTI
Dec 11, 2020 10:55Wanasheria wanaotetea haki za binadamu nchini Uganda wamejitokeza na kuilaumu serikali ya nchi hiyo kwa kutovichukulia hatua vikosi vya usalama ambavyo vimekuwa vikifanya ukandamizaji na mauaji dhidi ya raia.