Kisomo cha Qur'ani, Mash'had, Iran
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i10153-kisomo_cha_qur'ani_mash'had_iran
"Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi." Kisomo cha Qur'ani tukufu katika Haram ya Imam Ridha AS, mjini Mash'had Iran. Kila siku inahitimishwa juzuu moja ya Qur'ani.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Jun 28, 2016 08:51 UTC
  • Kisomo cha Qur'ani, Mash'had, Iran