-
Iran: Tuko tayari kuimarisha uhusiano na Ulaya lakini kwa kuheshimiana
Jun 08, 2025 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa, Tehran iko tayari kupanua uhusiano na nchi za Ulaya hususan Italia lakini kwa sharti la kuheshimiana na kulindwa maslahi ya pamoja.
-
Iran: Vikwazo vya US dhidi ya majaji wa ICC vinakirihisha
Jun 08, 2025 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo majaji wanne wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutokana na uchunguzi wao juu ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Israel huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Namna kujiunga Iran na Benki Mpya ya Maendeleo ya BRICS kunaweza kubadilisha maingiliano ya kifedha na kibenki
Jun 08, 2025 22:43Mohammad Reza Farzin, Gavana wa Benki Kuu ya Iran, amekutana na Dilma Rousseff, Rais wa Benki Mpya ya Maendeleo ya BRICS katika kikao cha magavana wa benki kuu na mawaziri wa uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai mjini Beijing na kujadiliana naye kuhusu kuimarishwa maingiliano ya kifedha na kibenki na nchi wanachama wa kundi hilo.
-
Baqaei: Vikwazo vipya vinaonyesha kina cha uadui wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran
Jun 08, 2025 09:04Esmaeil Baqaei, Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani vikali vikwazo vipya vya Wizara ya Hazina ya Marekani dhidi ya shakhsia na taasisi kadhaa za kisheria za Iran na zisizo za Iran kwa kisingizio cha kushirikiana na Iran katika nyanja za biashara na benki.
-
Spika Qalibaf: Iran haitakubali makubaliano yoyote bila kuondolewa vikwazo
Jun 08, 2025 09:03Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran iko tayari kujenga imani mkabala wa kuondolewa vikwazo huku ikidumisha urutubishaji wa madini ya urani, akieleza kuwa Iran haitakubali makubaliano yoyote pasi na kuondolewa vikwazo ilivyowekewa.
-
Pezeshkian: Iran kamwe haitokubali kuwa chini ya ubeberu
Jun 08, 2025 02:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran daima inakaribisha mazungumzo na maneno ya kimantiki, lakini kamwe haiko tayari kuwa chini ya ubeberu wa mtu yeyote yule.
-
Iran iko tayari kusaidia Kenya kujenga nyumba milioni moja
Jun 08, 2025 01:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa tayari kuisaidia Kenya kujenga nyumba milioni moja za bei nafuu nchini humo.
-
Araqchi aionya Troika ya Ulaya dhidi ya kuchua hatua yoyote ya uadui dhidi ya Iran katika Kikao cha Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 08, 2025 01:07Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo la wazi kwa Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kufuatia hatua za hivi karibuni za nchi tatu hizo za Ulaya katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.
-
Iran: Ripoti ya IAEA imethibitisha miradi ya nyuklia ya Tehran ni ya amani
Jun 08, 2025 00:18Iran imesema kuwa, ripoti ya hivi majuzi ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ambayo imeeleza kutokuwepo kwa ushahidi wowote wa kuaminika kwamba, miradi ya nyuklia ya Iran imeelekea katika mkondo wa kijeshi inathibitisha miradi ya nyuklia ya taifa hili inafanyika kwa malengo ya amani.
-
Kamati ya Bunge la Iran: Kurutubisha madini ya urani sio "suala la kujadiliwa"
Jun 08, 2025 00:18Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Urutubnishaji madini ya urani ni haki ya taifa hili na Tehran haiko tayari kuwekwa hilo katika ajenda ya mazungumzo.