Iran
  • Iran yalaani mashambulizi la Israel dhidi ya miundombinu ya raia na ulinzi ya Syria

    Iran yalaani mashambulizi la Israel dhidi ya miundombinu ya raia na ulinzi ya Syria

    Apr 04, 2025 03:34

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje amelaani vikali hujuma ya kijeshi ya anga na ardhini ya utawala wa wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na uharibifu wa vituo vya utafiti vya kiraia na kisayansi, pamoja na mlolongo wa miundombinu ya ulinzi ya nchi hiyo katika majimbo ya Damascus, Hama, Homs na Daraa.

  • SEPAH: Muqawama utakomesha uwepo mchafu wa utawala wa Kizayuni

    SEPAH: Muqawama utakomesha uwepo mchafu wa utawala wa Kizayuni

    Apr 03, 2025 23:44

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran SEPAH limetoa taarifa na kutangaza kuwa: "Kambi ya Muqawama hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya wavamizi wa Palestina."

  • Onyo Kali la Iran kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Onyo Kali la Iran kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Apr 03, 2025 09:08

    Katika mazingira ya kuongezeka kwa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni, na vitisho vya mara kwa mara kutoka kwa Donald Trump na maafisa waandamizi wa usalama wa utawala wake huko Washington kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran iwapo kutakosekana makubaliano kuhusu suala la nyuklia, Tehran imetoa onyo kali kwa Marekani na Israel kuhusu madhara makubwa ya hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran.

  • Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yanaweza kukomesha jinai za Israel

    Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yanaweza kukomesha jinai za Israel

    Apr 03, 2025 08:08

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema umoja na mshikamano miongoni mwa mataifa ya Kiislamu unaweza kuwa chachu ya kukomeshwa jinai za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel

    Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel

    Apr 03, 2025 03:37

    Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; hususan katika sikukuu za Idul-Fitri, na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki zinazofanywa na utawala huo ghasibu.

  • Kauli ya Larijani kuhusu Iran kuunda silaha za nyuklia yatikisa vyombo vya habari vya Kizayuni

    Kauli ya Larijani kuhusu Iran kuunda silaha za nyuklia yatikisa vyombo vya habari vya Kizayuni

    Apr 02, 2025 23:58

    Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali Larijani, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mahojiano na televisheni ya hapa nchini, alipotishia kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua ya kuunda silaha za nyuklia endapo itaendelea kuandamwa na vitisho.

  • Iran: Tutatumia njia zote kuuwajibisha utawala wa Kizayuni kwa kuushambulia ubalozi wetu

    Iran: Tutatumia njia zote kuuwajibisha utawala wa Kizayuni kwa kuushambulia ubalozi wetu

    Apr 02, 2025 08:29

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai iliyofanywa na utawala wa Kizayuni ya kuushambulia ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Damascus na kutangaza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeazimia kutumia fursa na njia zote kutekeleza uadilifu na kuuwajibisha utawala wa kigaidi wa Israel.

  • Araqchi: Iran haina lengo la kumiliki silaha za nyuklia

    Araqchi: Iran haina lengo la kumiliki silaha za nyuklia

    Apr 02, 2025 03:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuunda na kumiliki silaha za nyuklia kwa hali yoyote ile.

  • Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

    Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon

    Apr 02, 2025 03:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Dhahiya katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.