-
Maonyesho ya Qur'ani ni mahali pa kujifunza juu ya muujiza wa Neno la Mungu
Mar 06, 2025 01:28Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema: "Maonyesho ya Qur'ani yanapaswa kutufahamisha kuhusu miujiza ya Wahyi na kutukurubisha kwenye muujiza wa kimaarifa na wa batini wa Qur'ani."
-
Imam Khamenei: Harakati ya Kitaifa ya Upandaji Miti iendelee
Mar 05, 2025 06:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Ali Khamenei, leo asubuhi (Jumatano), katika Wiki ya Rasilimali Asili na Siku ya Upandaji Miti, amepanda miche mitatu ya miti.
-
Kiwanda cha nyuklia cha Iran chazalisha umeme wenye thamani ya dola bilioni 8
Mar 05, 2025 06:41Kiwanda pekee cha nyuklia cha Iran kimezalisha umeme wenye thamani ya takriban dola bilioni 8.2 tangu kilipoanza kufanya kazi zaidi ya miaka 11 iliyopita.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe
Mar 05, 2025 03:08Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya ambavyo vimewalenga watu wenye utamaduni na ustaarabu mkongwe wa Iran ni lazima viondolewe.
-
Iran: Hatutaki vita, lakini tutajihami kwa nguvu zote
Mar 05, 2025 00:44Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hatufurahishwi na vita na machafuko na wala hatupendi, lakini iwapo adui ataanzisha vita dhidi yetu basi bila ya shaka tutailinda Iran kwa nguvu zetu zote na kutoa jibu kali kwa maadui.
-
Madaktari wa Upasuaji wa Indonesia washangazwa na usahihi wa roboti za Iran
Mar 04, 2025 04:28Roboti za upasuaji aina ya Sina, zinazotengenezwa nchini Iran na kusambazwa katika hospitali za Indonesia kwa madhumuni ya upasuaji, zimewashangaza wataalamu wa matibabu nchini humo.
-
Baqaei: IAEA haipaswi kutoa maoni kwa mujibu wa matashi ya kisiasa
Mar 03, 2025 23:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) haupaswi kotoa maoni kwa kuzingatia mitazamo ya kisiasa."
-
Iran: Fedheha ya Zelensky nchini Marekani, kengele ya hatari ya kurejea ubabe wa karne ya 19
Mar 03, 2025 11:17Iran imesema mwenendo wa kudhalilisha wa Rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, katika Ikulu ya White House unapaswa kuwa "kengele ya hatari" ya kurejea kwenye zama za karne ya 19 za uonevu na utumiaji mabavu katika uhusiano wa kimataifa.
-
Malengo ya Iran ya kuwa na ushirikiano mzuri na majirani zake katika nyuga mbalimbali
Mar 03, 2025 06:45Majid Takht Ravanchi, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesema kuhusu mikutano na mazungumzo aliyofanya na maafisa wa Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) au Imarati kwamba majirani wana nafasi maalumu katika sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran inakabiliwa na muungano wa madola ya kinafiki
Mar 03, 2025 03:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Jamhuri ya Kiislamu haina tatizo na mataifa mengine; lakini hata hivyo inakabiliwa na muungano mpana wa "madola ya kinafiki" yanayojaribu kuingilia mambo yake ya ndani na kuvuruga uhusiano wake wa nje.