-
Pezeshkian: Ramadhani iwe chachu ya kuimarika umoja wa Waislamu
Mar 03, 2025 03:38Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.
-
Bunge la Iran lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri wa Uchumi
Mar 02, 2025 09:16Wabunge katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wamepiga kura ya kumuondoa katika wadhifa wake Waziri wa Masuala ya Uchumi na Fedha wa Jamhuri ya Kiislamu, Abdolnaser Hemmati wakati wa kikao cha kupiga kura ya kutokuwa na imani naye.
-
Spika: Mataifa yanayotegemea usalama kutoka nje yatafeli
Mar 02, 2025 08:56Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mustakabali wa nchi zinazotegemea mataifa mengine kwa ajili ya kudhaminiwa usalama na maendeleo ni kufeli na kugonga mwamba.
-
Qalibaf awatakia kheri ya Ramadhani maspika wenzake katika nchi za Kiislamu
Mar 02, 2025 03:26Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf amewapongeza maspika wenzake katika nchi za Kiislamu kwa kuwasili mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Kamanda: Jeshi la Iran linabadilisha mbinu za kukabiliana na vitisho
Mar 01, 2025 23:39Kamanda mwandamizi wa Iran amesema Iran itabadilisha mbinu na mikakati yake ya kijeshi ili kukabiliana na vitisho vinavyobadilika. Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran, Brigedia Jenerali Alireza Sabahi-Fard, ameyasema hayo Jumamosi na kuongeza kuwa maadui na wavamizi hawawezi kufikia anga ya Iran.
-
Kuwa tayari Iran kuimarisha uhusiano na nchi za Kiafrika
Mar 01, 2025 23:03Mshauri na Mjumbe Maalumu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ethiopia na kusisitiza kuwa Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na Ethiopia na nchi za Kiafrika kwa ujumla.
-
Jeshi la Wanamaji la IRGC: Tutatoa jibu kali kwa tishio lolote
Mar 01, 2025 09:27Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kikosi hiki, kinategemea uwezo wa kielimu wa wataalamu wa ndani, na leo hii kina uwezo wa kutoa jibu madhubuti na kali kwa tishio lolote."
-
IRGC yasisitiza: Operesheni ya Ahadi ya Kweli 3 itatekelezwa kwa wakati uliopangwa
Mar 01, 2025 03:46Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC ametangaza kuwa, awamu ya tatu ya Operesheni ya "Ahadi ya Kweli" itatekelezwa katika wakati uliopangwa, kufuatia utekelezaji uliofanikiwa wa awamu yake ya kwanza na ya pili.
-
Tehran yajibu matamshi ya Uturuki dhidi ya Iran
Mar 01, 2025 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan dhidi ya sera za kieneo za Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, nchi hii haibadilishi sera zake kila siku.
-
Ayatullah Seddiqi: Chuki dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni imeenea duniani kote
Feb 28, 2025 11:26Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, adui wa Israel sio kambi ya Muqawama tu na kuongeza kuwa, mauaji ya wanawake na watoto huko Gaza na makamanda wa Muqawama yamesababisha kusambaa duniani kote chuki dhidi ya utawala wa Kizayuni na Marekani.