-
Taasisi ya Ushauri ya Ulaya: Iran itatumia karata zake zote iwapo itashambuliwa na Marekani
Feb 01, 2026 01:32Taasisi ya ushauri ya Baraza la Ulaya kuhusu Mahusiano ya Kigeni imeonya katika ripoti yake juu ya matokeo mabaya ya mashambulizi ya kijeshi wa Marekani nchini Iran.
-
Utendaji wa jeshi la IRGC kuanzia kupambana na Daesh hadi Vita vya Siku 12 na utawala wa Kizayuni
Feb 01, 2026 01:03Jeshi la Walinzi wa Mapindzi ya Kiislamu (IRGC) katika miongo ya hivi karibuni limefanya vyema, hasa katika mapambano dhidi ya magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) na pia katika Vita vya Siku 12 na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Shamkhani: Iran itashambulia ndani ya kitovu cha 'Israel' kulipiza kisasi
Jan 31, 2026 22:59Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, ameonya kwamba hatua yoyote ya uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuchochea majibu makali, ikiwemo mashambulizi yatakayopenya kwa kina ndani ya maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ambayo yamepachikwa jina bandia la 'Israel'.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu azuru Haram ya Imam Khomeini (MA)
Jan 31, 2026 09:26Sherehe za kuadhimisha mwaka wa arobaini na saba tangu ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu zimeanza kwa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuzuru haram haram tukufu ya Imam Khomeini (MA), muasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Pezeshkian: Trump, Netanyahu, na Ulaya walitaka kuchochea mgawanyiko ndani ya Iran
Jan 31, 2026 09:25Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa katika ghasia za hivi karibuni zilizochochewa na tawala za kigeni, Rais wa Marekani Donald Trump, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, na watawala wa Ulaya walijaribu kuchochea vurugu na kuibua mgawanyiko ndani ya Iran.
-
Sera za uadui za Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; Brussels inataka nini?
Jan 31, 2026 05:27Umoja wa Ulaya umeendeleza msimamo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Iran kwa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Tehran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu.
-
Waziri Araghchi asisitiza ulazima wa kuheshimiana pande mbili katika mazungumzo
Jan 31, 2026 03:42Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuheshimiana pande mbili katika mazungumzo ya Iran na Marekani.
-
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran afanya mazungumzo na Rais wa Russia
Jan 31, 2026 03:41Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow.
-
Pezeshkian amweleza Erdogan: Iran inapinga vitisho, inaunga mkono mazungumzo na diplomasia
Jan 30, 2026 23:27Iran inapinga vitisho na kushurutishwa na ina azma thabiti ya kufanya mazungumzo, kuheshimiana pande mbili na kutekelezwa diplomasia kwa manufaa ya pande zote. Haya yameelezwa na Rais Masoud Pezeshkian huku Washington ikiendelea kutoa vitisho vya kijeshi dhidi ya Tehran.
-
Araqchi: Iran iko tayari kwa vita na mazungumzo
Jan 30, 2026 23:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amesema kuwa Tehran iko tayari kwa vita na mazungumzo lakini haitakubali kuwekewa masharti. Araqchi ameeleza haya kufuatia vitisho vya kijeshi vya Washington dhidi ya Tehran.