-
Iran yatahadharisha: Uvamizi wowote utakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima la Asia Magharibi
Feb 02, 2026 10:35Iran imesema kuwa nchi za kikanda zinafanya juhudi za pamoja ili kuzuia vita kwa vile zinaelewa vyema kwamba hatua yoyote ya kijuba dhidi ya Tehran itakuwa na madhara makubwa kwa eneo zima.
-
Ripoti: Rais Pezeshkian aagiza kuanza upya mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Feb 02, 2026 10:28Rais Masoud Pezeshkian ameagiza kuanza upya kwa mazungumzo kati ya Iran na Marekani kuhusu mpango wa nyuklia wa Tehran.
-
Iran kuzindua satelaiti mpya na kituo cha anga za mbali
Feb 02, 2026 10:14Iran inajiandaa kuzindua mafanikio yake mapya katika sekta ya teknolojia ya anga, ikiwemo kuzindua satelaiti iliyotengenezwa ndani ya nchi, picha za kwanza zilizopigwa na setilaiti yake ya hivi karibuni ya Paya, pamoja na kituo kipya cha anga za mbali, katika maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Anga za Mbali.
-
Kwa nini Iran inaamini kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi unazidisha mivutano?
Feb 02, 2026 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika kanda hii siku zote huwa sababu ya kushatadi mivutano.
-
Iran yaitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Feb 02, 2026 03:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka na jamii ya kimataifa ili kukomesha mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza.
-
Washington Post: Iran ina uwezo wa kulenga kambi za kijeshi za Marekani
Feb 02, 2026 03:42Gazeti la Washington Pos limeripoti kuwa, Iran ina uwezo wa kulenga kambi za kijeshi za Marekani.
-
Iran yaimarisha ‘Dhahabu ya Kijani’ licha ya njama za Marekani
Feb 01, 2026 23:41Sekta ya njugu aina ya pistachio ya Iran kwa muda mrefu imekuwa nguzo muhimu ya mauzo ya nje ya kilimo ya nchi hii, ikiwa imejikita kwa kina katika uchumi na utamaduni wa Iran.
-
Kuakisiwa hotuba ya Kiongozi wa Mapinduzi katika vyombo vya habari vya Kiarabu; indhari ya Tehran ya kugeuka vita na kuwa vya kikanda
Feb 01, 2026 23:10Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonya kwamba, vita vyovyote vitakavyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran vitageuka na kuwa vita vya kikanda.
-
Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu; nembo ya kujiamini watu wa Iran dhidi ya udhalimu wa Shah na uistikbari
Feb 01, 2026 07:55Tarehe Mosi Februari huadhimishwa hapa nchini Iran kama kumbukumbu ya kihistoria ya kurejea nchini Imam Khomeini, mwanzilishi wa Jamhuri ya Kiislamu, baada ya karibu miaka 15 ya kuwa uhamishoni.
-
Kiongozi Muadhamu: Vita vipya vya US dhidi ya Iran vitapanuka na kuwa vya kieneo
Feb 01, 2026 07:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonya kwamba, vita vyovyote vitakavyoanzishwa na Marekani dhidi ya Iran vitageuka na kuwa vita vya kikanda.