-
Yemen nchi ya kwanza ya Kiarabu kujizalishia yenyewe silaha za maana
Oct 22, 2025 02:46Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema: Kwa taufiki ya Mwenyezi Mungu Yemen imefanikiwa kuwa nchi ya kwanza kati ya nchi zote za Kiarabu katika uzalishaji wa silaha na zana za kijeshi. Uzalishaji wa makombora katika nchi yetu uko kwenye njia inayozidi kustawi na tuna mafanikio makubwa katika uzalishaji wa droni na ndege zisizo na rubani.
-
Larijani: Marekani haitaki Iraq iwe huru/ Baghdad: Usalama wetu na wa Iran ni kitu kimoja
Oct 22, 2025 02:46Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: Ni lazima tufanye juhudi za kuzuia njama zozote zinazofanywa na watu baki wenye nia mbaya ya kuyaletea madhara mataifa ya Iran na Iraq.
-
DR Congo yaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wanaoshambulia kambi zake za kijeshi
Oct 22, 2025 02:45Wanajeshi wawili wa Rwanda wametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwaunga mkono waasi wa Machi 23 (M23) waliofanya mashambulizi mapema juzi Jumatatu dhidi ya kambi za kijeshi za serikali huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
-
Guardian: Chuki dhidi ya Trump imekuwa nembo ya mshikamano mpya Marekani
Oct 22, 2025 02:43Chuki dhidi ya rais wa hivi sasa wa Marekani imekuwa jambo la kawaida kwa waandamanaji wanaomiminika mitaani kumpinga Trump katika majimbo mbalimbali na hivi sasa imegeuka kuwa nembo ya mshikamano mpya huko Marekani.
-
Meja Jenerali Pakpour: Jahanamu itashuhdiwa iwapo Iran itashambuliwa
Oct 21, 2025 23:48Iran iko tayari kutoa jibu kali kwa uchokozi wowote endapo utafanywa dhidi yake katika siku zijazo. Ameyasema hayo Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye ametaharisha kuwa Iran "itaachilia moto wa kuzimu dhidi ya adui."
-
IOM: Licha hali ya tete ya usalama, zaidi ya watu milioni moja wamerejea mji mkuu wa Sudan, Khartoum
Oct 21, 2025 23:48Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, watu zaidi ya milioni moja wamerejea katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, katika kipindi cha miezi 10 iliyopita licha ya kukosekana usalama wa kutosha katika mji huo kutokana na vita vinavyoendelea nchini humo.
-
Msemaji wa serikali ya Iran: Azimio nambari 2231 limekwisha muda wake
Oct 21, 2025 23:08Fatemeh Mohajerani Msemaji wa serikali ya Iran amesema kuwa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililoidhinisha makubaliano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 limekwisha muda wake na kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelitaarifu Baraza la usalama kuhusu kumalizika muda huo.
-
Teknolojia ya Nyuklia Yazaa Masuluhisho Mapya kwa Mustakabali wa Uchumi wa Iran
Oct 21, 2025 23:05Iran imezindua kituo cha kwanza cha mionzi ya kilimo katika eneo la kaskazini-magharibi, kilichopo Ardabil, hatua inayoonesha dhamira ya taifa kutumia teknolojia ya nyuklia kwa madhumuni ya amani ili kuimarisha usalama wa chakula na kukabili changamoto za kilimo kote nchini.
-
Chuo Kikuu cha Arizona; Taasisi ya saba Marekani kukataa matakwa ya sera mpya ya Trump
Oct 21, 2025 23:03Vyuo Vikuu saba vya juu nchini Marekani vimepinga mpango tata wa "kielimu" wa Ikulu ya White House, ambao unashutumiwa kuwa ni mkakati wa kisiasa unaolenga kuwanyamazisha wapinzani na kuwaadhibu wanaoiunga mkono Palestina katika Vyuo Vikuu.
-
Kwa nini Afrika ni fursa kubwa ya kiuchumi kwa Iran?
Oct 21, 2025 23:01Mkuu wa Jumuiya ya Biashara ya Pamoja ya Iran na Afrika amesema: "bara la Afrika ni hazina iliyofichika ya uchumi wa dunia na fursa kubwa kwa Iran."